Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Ndo manake hiyoAu sio, Wanafanya kazi wakisubiri tu Uhakika mshahara lakini ufanisi/efficiency 10%
Ndo manake hiyoAu sio, Wanafanya kazi wakisubiri tu Uhakika mshahara lakini ufanisi/efficiency 10%
Kwenye wizara au taasisi kuna maajabu gani bwashee?Tatizo watu wanahisi mtu akihama basi destination ni Dar mi naprefer kama nahama nihamie taasisi au wizara bila kujali nitakua mkoa gani.
Ukiacha miundombinu kuna sehemu ukifanya kazi majungu ni mengi halafu mpunga kidogo. Sasa mtu anajua akienda Dar michongo ya cash inaenda pia.
Ukiwa taasisi au wizara ndiyo kabisa
Stahiki zinaenda haraka kuliko TAMISEMIKwenye wizara au taasisi kuna maajabu gani bwashee?
Hauna option ya wapi upangiwe.Unapoomba kazi unaomba na kituo cha kupangiwa..?
Joni who..?Hauna option ya wapi upangiwe.
Mkuu, kuna mahali niliona unasema upo jiji la Arusha, au umeshaondoka kwa Joni?
Boss wako.Joni who..?
Ahaaa copy copy, nilishaondoka🤠🤠 nimehamia kwenye mashirikaBoss wako.
Copy copy, Sijaelewa hii mkuu😁Ahaaa copy copy, nilishaondoka🤠🤠 nimehamia kwenye mashirika
Mtu anaemwabudu binadamu atatoa wapi akili?Wewe hutaki Tanzania iendelee, comment zako nyingi zinaonesha unafurahia jinsi nchi ilivyo nyuma kimiundombinu, unaona sawa tu
Kwa hiyo vijijini lami haihitajiki, sio? Unakosa hata chembe ya uzalendo na ni nchi yako hii unayoiongelea hivyo. Bure kabisa!