Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,603
- 4,082
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]Mimi hata hii nyama iwe na Corona, nitakula hivyo hivyo. Nipo tayari kukaa Karantini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]Mimi hata hii nyama iwe na Corona, nitakula hivyo hivyo. Nipo tayari kukaa Karantini
Hahahaha [emoji23]Unadhani Yesu alikuwa mjinga aliposukimia mapepo kwa nguruwe?
Mkuu mnalishwa mafunza na waduduHapa naandikaa hii tex huku nakula nguruwe alitlyechinjwa masaa machache baada ya kuonekana kukosa nguvu.
Ni kuwa jirani yangu ngruwe wake sasa ndyo wameishaaa na walikuwa zidi ya 35. Kila siku walikuwa wakifa akaamua kuwa anawachinja akiona wanaelekea kufa na kupeleka nyama sokoni ila akifikisha sokoni nako uuzaji ni shida maana nyama ya nguruwe ipo ya kutosha sehem nyingi wanachinja wakati huu. Sasa kaamua kuchinja wote na kugawia majirani tu.
hata ww ungekuwa karibu zama hizo ungesukumiwa majeen [emoji2956][emoji2956]Unadhani Yesu alikuwa mjinga aliposukimia mapepo kwa nguruwe?
Weka ushahidi mafunza na wadodo haramMkuu mnalishwa mafunza na wadudu
Pia naskia kwamba zile sindano za insuline za wagonjwa wa kisukari hua zinatengenezwa na row material kutoka kwa nguruwe wataalamu hapa mtusaidie imekaaje ili sisi wafuasi wa Mudi tuache kuzitumia.Weka ushahidi mafunza na wadodo haram
Ninachojua wanaongeza CD.4 mwilini
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app