Serikali yaridhia kufuta tozo kwenye miamala ya simu

🤣🤣🤣🤣Ila hawa jamaa!!
 
Yaani mnatengeneza tatizo halafu mnalitatuanili mjisifu, huu utaahira gami? Na ni kwa miamala ya kutuma tu au hadi kutoa? Kwaniji hasmsemi ukweli kuwa ni kwenye kutuma tu?

Ila hoja juu ya mikataba kuuza Sovereignity ya Tanganyika ipo palepale..., mkataba urekebishwe!
 
Tunataka bandari zetu. Hii danganya toto hapana taka sisi.
 
Vp kuhusu bandari? Tanganyika inataka bandari yake tu.
 
Rais Samia huna mamlaka ya kufuta kodi.

Wala huna mamlaka ya kutunga kodi.

Ni kwa vile bunge ni jumuiya ya chama, ndio maana unaweza kutuchezea kama yule mdoli.

Futa basi na huo mkataba uliopigiwa kelele. Eti serikali sikivu.
 
Hii mijitu ya hovyo sana yaani yanatengeneza tatizo halafu yanajifanya eti yamelitatua eti yapongezwe.
Pumbavu zenu
 
Kama wamefuta na bajet iliishapita, hizo hela watazitoa wapi?
 
Wapinzani wakome kutuletea matozo yao, Mama umewanyoosha sana kwa kutuondolea. Tusaidie na kwenye bandari mama.
Mkuu tunaokoma ni mimi na wewe pamoja na wazazi wako kule kijijini, kwani nyie wana ccm mkienda kutuma na kutoa hela mnakuwa na kadi ya ccm ili msikatwe tozo? kama sivyo acha ushabiki wa kijinga tunaumia wote pamoja na uccm wako.
 
Hii nchi ukiwa serious unaweza ukaenda kurusha mawe Ikulu. Kwani hizo tozo zilikuwa introduced na nani mpaka leo zimeondolewa tumpongeze huyo Rais wa viti maalum?
 
Na ule mkataba wa wale waarabu wa Dubai tunamuomba auvunje mara moja Kama kweli ni msikivu.
Mkataba huu haufai na ni kama tumeuza bandari zetu zote za maziwa makuu na bahari kwa waarabu wa Dpworld.!
 
Na ule mkataba wa wale waarabu wa Dubai tunamuomba auvunje mara moja Kama kweli ni msikivu.
Mkataba huu haufai na ni kama tumeuza bandari zetu zote za maziwa makuu na bahari kwa waarabu wa Dpworld.!

Wewe ni mpigaji wa pale bandarini au mfuata mkumbo tu? Acha mama apige kazi, na unaposema haufai unaweza leta ushahidi wa hilo, na sio tu kuongea bila kuwa na ushahidi
 
Serikali iliyoanzisha tozo ni ipi hadi hii inayofuta tozo sasa ione kama imetufanyia tendo la huruma sana?
 
Ujinga mkubwa!

Alivyoingia madarakani kulikuwa na tozo? Alileta tozo halafi ameiondoa, ndiyo tuone ametufanyia muujiza?

Ni sawa uwe na mzazi anajisaidia kwenye maeneo ya wazi bila aibu, mkamlaumu sana. Akaacha kujisaidia kwenye maeneo ya wazi, halafu anatokea mjinga kuwa tumsifu kwa sababu amefanya jambo kubwa kuliko watu wote, kwani wakati anajisaidia maeneo ua wazi, na wazazi wengine wote walikuwa wanafanya hivyo?

Wakati wa Kikwete kulikuwa na tozo?
Wakati wa Magufuli kulikuwa na tozo?
Nani alileta tozo? Amefuta tozo iliyoletwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…