Serikali yaridhia kufuta tozo kwenye miamala ya simu

tozo kwanza sio kubwa, bali makato ya makampuni ni makubwa
 
Haisadii. Warudishe na fedha zote walizotoza. Wanatuibia halafu wanasema watacha kuendelea kuiba wakitarajia tutawaona wa maana? Mama wa kambo siyo mama. Arudi kwao Zenji atuachie Tanganyika yetu.
 
Sasa asitishe mkataba na “Deep World “ .
 

Ujinga mtupu, usishangae akienda huko vijijini kwa makondoo wao akashangiliwa kwa huu upuuzi.
 
Mshahara unakatwa kodi kisha unawekwa benki - Ukenda kuchukua benki unakatwa tena
Mshahara mmoja unalipa kodi mara mbili !!! Na hilo je wameliona?
 
Hivi kina Nape ,Chief Hanganya na Kina Chifu Mangungo wa Mijengoni wanatuona sisi Wa-TZ wajinga? Wanavyosema serikali imefuta tozo wakati TOZO zipo wakati wa kutoa wanaanisha nini? Hivi wanafikiri waTZ wa enzi za mwalimu ndiyo wa sasa? Kwanini walete propaganda sizizo na kichwa wala miguu? Kwanini wasisema kwamba imeondoa TOZO kwenye kutuma ila kutoa bado zipo? Unawezaje kumuongopea mtu ambaye ndiyo inayomuathiri unafikiri hatojua? Kiendo cha kubakiza TOZO kwenye kutoa ni bora wangeacha tu hivyo hivyo maana TOZO za kwenye kutoa ni Kubwa.
 
Dunno what else to say but I like this Swahili phrase " ajitekenya and acheka mwenyewe"

She brought it, she tortured her people and now she act innocent, shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…