FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hauna semina/training huo mfuko?Huu mfuko wa Global Fund ulianzishwa mwakanl 2002 na Koffi Annan akiwa SG wa Umoja wa Mataifa. Ni mfuko ulioanzishwa kukabiliana na magonjwa ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria katika nchi za Africa, Asia na South America.
Kabla ya Mfuko huu wagonjwa walikuwa wanashindwa ku afford matibabu hasa ya UKIMWI kwa kuwa bei dozi ya mwezi mmoja ilikuwa inakaribia Tsh 300,000. Hivyo basi ni watu wengi hasa wa Third World waliokufa kwa ugonjwa wa UKIMWI.
Vyanzo vya mfuko huu ni michango ya fedha kama msaada kutoka nchi za USA, United Kingdom, Sweden, Canada, EU na makampuni makubwa kama Cocacola, Gates Foundation, etc
Misaada hii huyolewa kwa nchi ambazo zinakidhi vigezo na siyo mkopo.
Kuhusu ku-miuse hela za mfuko huu siyo rahisi kwa kuwa wasimamizi wa fedha hizi ni makampuni makubwa ya ukaguzi wa mahesabu. Kwa Tanzania zinakaguliwa na PWC
Tumeshapigwa mkuuHivi wakaamua kuzitafuna zote, tutapima vipi kama kwei hayo magonjwa yamepungua au hiyo mifumo imeimarika?
Pia huo sio msaada , tutalipa hizo pesa kwa namna yoyote ile!
🤣🤣🤣Ianzishwe Wizara ya madeni
Wagonjwa wengi wanafariki kwa kushindwa kutibu magonjwa nyemelezi kwa kukosa uwezo wa kifedha ni vyema moja ya matumizi ya fedha hizo iwe ni kuwasaidia dawa na vipimo wagonjwa wa HIV.Kwenye clinic za HIV siku hizi hawatoi tiba ya magonjwa nyemelezi kisa hakuna fedha, sasa hizi mkajengee MAHEKALU DUBAI na makumi ya Scania Marcopolo na Yutong buses
Hakuna mambo ya Training bali kuna supportive supervisionHauna semina/training huo mfuko?
Kuna mifumo ya Monitoring & Evaluation yote ina capture indicators muhimuHivi wakaamua kuzitafuna zote, tutapima vipi kama kwei hayo magonjwa yamepungua au hiyo mifumo imeimarika?
Pia huo sio msaada , tutalipa hizo pesa kwa namna yoyote ile!
Mkuu big no, kuna semina kibao zinaandaliwa na Wizara ya afya kwa kushirikiana na global fund au huwa wanaamaanisha ni nini?Hakuna mambo ya Training bali kuna supportive supervision
Ni kweli semina nyingi sana huandaliwa na bajeti kubwa tu hasa mikoa ambayo wananchi bado wako nyuma na elimu ya afya huwa wanapelekwa vijana wenye elimu za kuunga kuunga shida wizara husika si wafuatiliaji hapo wasimamizi hizo semina ndio wapigaji.Mkuu big no, kuna semina kibao zinaandaliwa na Wizara ya afya kwa kushirikiana na global fund au huwa wanaamaanisha ni nini?
Plate moja badala ya kuuzwa elfu 8 utakuta inauzwa elfu 30, ongezeko lote ni ajili ya akina Ummy na genge lakeNi
Ni kweli semina nyingi sana huandaliwa na bajeti kubwa tu hasa mikoa ambayo wananchi bado wako nyuma na elimu ya afya huwa wanapelekwa vijana wenye elimu za kuunga kuunga shida wizara husika si wafuatiliaji hapo wasimamizi hizo semina ndio wapigaji.
Kwa hiyo nyie na China mnafanana mwendawazimu wewe ? Na unajua hayo madeni ya China ni ya Bank zipi ?Kwani hata Ukiwa Mkopo Kuna shida gani?View attachment 2889448
Wewe mpumbavu get to know kwamba deni ni deni regardless of what.Kwa hiyo nyie na China mnafanana mwendawazimu wewe ? Na unajua hayo madeni ya China ni ya Bank zipi ?
Kama umeshindwa kujibu hayo maswali wewe ni tahira.Wewe mpumbavu get to know kwamba deni ni deni regardless of what.
Huwezi kuendelea bila kukopa sawa wewe mbuzi?
Wewe ndio akili ndogo,hiyo akili kubwa Iko wapi?Kama umeshindwa kujibu hayo maswali wewe ni tahira.
Huwezi jifananisha na China, akili ndogo kamwe haifanani na akili kubwa.
Wewe kinyago huna akiliWewe ndio akili ndogo,hiyo akili kubwa Iko wapi?
Huwezi kuendelea bila kukopa,China walikopa ndio wakaendelea sawa wewe nyumbu.
Wewe nzi huna ukijualoWewe kinyago huna akili
Tofauti ya China na jamhuri yetu ya mserereko na madeni mvururu China wanakopa wana mikakati mpaka ya miaka 30 ijayo wewe unakopa kutatua shida ya sasa ikitokea shida nyingine kesho unakopa tena wenzio sio wajinga kama wewe usifananishe usingizi na kifo kajifunze kwanza harafu urudi.Wewe mpumbavu get to know kwamba deni ni deni regardless of what.
Huwezi kuendelea bila kukopa sawa wewe mbuzi?
Kwani sisi tunakopa bila mikakati ya miaka 30 ijayo?Tofauti ya China na jamhuri yetu ya mserereko na madeni mvururu China wanakopa wana mikakati mpaka ya miaka 30 ijayo wewe unakopa kutatua shida ya sasa ikitokea shida nyingine kesho unakopa tena wenzio sio wajinga kama wewe usifananishe usingizi na kifo kajifunze kwanza harafu urudi.