Kingwest93
Senior Member
- Nov 23, 2023
- 109
- 107
Niambie mkakati moja wapo wa miaka 30 ijayo kwenye wizara ya afya👆 au ndio kina nyinyi bora ushibe sumu kuliko kufa na njaa.Kwani sisi tunakopa bila mikakati ya miaka 30 ijayo?
Ni aibu Nchi maskini kuogopa kukopa