Serikali yasaini mkataba ujenzi Daraja la Jangwani, Sh Bilioni 97.1 kutumika

Serikali yasaini mkataba ujenzi Daraja la Jangwani, Sh Bilioni 97.1 kutumika

Hivi wame shindwa kupata mkandarasi wa ndani anae jua hilo eneo vizuri zaidi hizo shilling bn 97 zibaki hapa hapa nchini,........college of civi Engineering Udsm haina product wa kujenga hilo daraja la robo kilomiter kweli?
Mkuu sheria zetu haziruhusu mkandarasi wa ndani kupewa mradi wa zaidi ya billion 50, ndo maana wakapewa hao outsiders,Lakini pia upande wangu napenda sana outsider contractors,hawa wetu ni tia maji sana.Hata hiyo miradi ya chini ya 50 Billion Bado ni kubwa sana ,walipaswa wapewe miradi isiyozidi 5 Billions tu.
 
Wekeni underground kabisa. Maji yapite juu na gari chini ya ardhi… Hilo ndilo suluhisho la kudumu…
 
Hao wandani niwanabaishaji mkuu hawachinaniwazurisana jamaawanateknolejia nzuri angaliakazizao daraa kilombero reliya tazara japoilijengwazamanisana lakinimpka leoinaubrawahalijuusana
 
Kumbe hata haligharimu pakubwa, ilikuwaje likachelewa hivyo? Yaani b 97 tu gharama ya ujenzi! Halafu 4 lanes sio sawa, wangefanya walau 6 maana hata gharama yenyewe hata mikopo ya ndani inaweza kumaliza tu.
 
World Bank wallikopa Bilioni 300 mwaka jana kwa ajili ya huu mradi, ila gharama ni bilioni 97. Zingine nani amekula?
Hapo ndo kunapigwa za uso,na wachina haohao.
Bil 97... hiyo ni tillion +++.
Mradi ni mzuri ila wakandarasi sasa.
 
Ni mpango mzuri lakini naona umelenga kuyakimbia mafuriko pekee na sio kwa wakati huo huo kupunguza traffic jam ya kipande hicho cha Magomeni - Fire (unless kama hizi renders tunaziona hazipo perfect)...

Ushauri wangu kama TANROADS na Waziri Bashungwa wanausoma....

1. Kwakuwa hii ni sehemu ya barabara ya Morogoro, ilitakiwa kuanzia makutano ya Magomeni Mapipa hadi Fire walau kuwe na njia 3 au nne za lami kwa ajili ya magari binafsi na moja kwa ajili ya mwendokasi (hii ipo tayari)

Hii ingekuwa ni muendelezo wa upanuzi unaofanywa Kimara - Ubungo, au Kimara - Kibaha na ungefanyika tu awamu hii kuepusha gharama nyingine huko mbeleni

2. Magomeni Mapipa pawe na interchange na pale Fire vilevile pawe na interchange...
 
Back
Top Bottom