Serikali yasema haijapata taarifa ya Umoja wa Mataifa inayozungumzia kuuawa na kukamatwa kwa wapinzani

Serikali yasema haijapata taarifa ya Umoja wa Mataifa inayozungumzia kuuawa na kukamatwa kwa wapinzani

ndio mkuu, hii issue jiwe anaichukulia powa ila huwenda ikaleta madhara makubwa badae,mbugani hakutokuwa na watalii,jana korea imewataadhalisha wananchi wake wasiende kusini mwa Tanzania huko mtwara nk
Waache tu mkuu. Wapinzani ndo walikuwa wanachelewesha maendeleo nchi hii. Watajua hawajui. Hivi unakumbukumbu kuna jambo washawahi leta CCM bungeni likakataliwa kaajili ya wapinzani? Sasa walizuiaje maendeleo? Magufuli angekutana na Nancy Pelos angemnyonga hadharani.
 
Ofcourse,ana plan ya kujiongezea muda madarakani, na hicho ndicho kinachozidi kuwapa kibri na majivuni hawa vibaraka na wapiga mapambio.

Uhakika wa ugali, thats why wanaropoka tu!
Sio rahisi mkuu. Labda aje na Tanzania yake. Hata wao wako kimya ila wamemchoka. Hajufikia sehemu ya kuzalisha wakimbizi wa kisiasa ila uroho wa mtu mmoja ambaye hana ubinadamu umetufikisha huko na kututia aibu
 
Prof. mdomo ulipoza kichwa! kuwa makini na mdomo wako! Cheo ulicho nacho ni cha muda! Jitafakari na chunguza kabla ya kusema.
Hawajielewi wanajiona watakaa na hayo madaraka milele,hawajui hivi vyeo ni mapito hata wanayehaingaika naye hawajui siku moja atakuwa uraiani kama raia wa kawaida
 
This happens only when you have a cynical government!
 
Hiyo taarifa ya umoja wa ulaya kama wameandikia JF haina maana lakini kama ni official wangetuma kwenye ofisi za serikari, vinginevyo, kama alivyosema huo ni umbea tu.

Labda hao walioandika huo ujumbe walikuwa bar wanakunywa na vi laptop vyao. Hivyo walilewa na kuj8kuta kwa hisia na mapenzi yao na vibaraka wakajikuta wanaandika na kupost tu hewani
 
Back
Top Bottom