Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wataje Tujue Walipo Kama Mataifa Yaliyoendelea Yanavyojua Wapo Raia WakeWapo nchi gani?
Last time walisema Oman wapi laki nne.. UK laki 2.. USA laki na themanini...
Hao wengine wapo wapi?
Kwenye hiyo list wazamiaji wamo?.Wapo nchi gani?
Last time walisema Oman wapi laki nne.. UK laki 2.. USA laki na themanini...
Hao wengine wapo wapi?
Yaani wanakalibia idadi ywananchi ya Zanzibar!Wapo nchi gani?
Last time walisema Oman wapi laki nne.. UK laki 2.. USA laki na themanini...
Hao wengine wapo wapi?
[emoji23][emoji23]Yaani wanakalibia idadi ywananchi ya Zanzibar!
Kila mmoja akitumia Dola kumi za marekani kwenye akaunti ya serikali ya diaspora,hatupati hela za madawati,matundu ya vyoo nk?Wapo nchi gani?
Last time walisema Oman wapi laki nne.. UK laki 2.. USA laki na themanini...
Hao wengine wapo wapi?
Kenya, Uganda, Congo, Rwanda, Malawi, ZambiaWapo nchi gani?
Last time walisema Oman wapi laki nne.. UK laki 2.. USA laki na themanini...
Hao wengine wapo wapi?
Diaspora ni pamoja na watoto wao labda waliozaliwa hukoMbona ni Uongo, maana idadi ya Passport ni chini ya 400,000 na hii ni taarifa ya Uhamiaji, je hao Watanzania hawana passport?
Kila mmoja akitumia Dola kumi za marekani kwenye akaunti ya serikali ya diaspora,hatupati hela za madawati,matundu ya vyoo nk?
Je hesabu hiyo ya passport laki 4 ni hizi mpya?Watu wameanza kusafiri nje ya Nchi miaka 60 iliyopita.Mbona ni Uongo, maana idadi ya Passport ni chini ya 400,000 na hii ni taarifa ya Uhamiaji, je hao Watanzania hawana passport?
Wana msaada gani kwa taifa hasa kwenye nyanja ya kiuchumi nadhani hii ndo ingekwa logical zaidi!!Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha Saba, Ijumaa Aprili 14, 2023
SERIKALI YASEMA TANZANIA INA DIASPORA MILIONI 1.5
Takwimu hizo za Diaspora ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi za Kibalozi za #Tanzania zilizopo nje ya Nchi
Naibu Waziri, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesema Wizara inakamilisha mfumo wa kidigitali ambao unatarajiwa kukamilika Juni 2023 utakaowezesha ukusanyaji endelevu wa takwimu za Watanzania wanaoshi nje ya Nchi