Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diaspora hiana uhusiano na passport. Diaspora ni watanzania wanaoishi nje wenye asili ya Tanzania sio lazima wawe na passport ya Tanzania.Mbona ni Uongo, maana idadi ya Passport ni chini ya 400,000 na hii ni taarifa ya Uhamiaji, je hao Watanzania hawana passport?
dola 10 X 1.5 ikifika hapa Tanzania mtu aipigia mahesabu.Kila mmoja akitumia Dola kumi za marekani kwenye akaunti ya serikali ya diaspora,hatupati hela za madawati,matundu ya vyoo nk?
Tena huko wapo wengi sanaWamehesabu na hawa mateja huku SOUTH AFRICA au? Ifike point diaspora isichukuliwe kama jina bali hii ni Status na ili uitwe hivyo ni lazima uwe na shughuli maalum huko majuu.
Ikipitia halmashauri inapotelea hukohuko,Kila mmoja akitumia Dola kumi za marekani kwenye akaunti ya serikali ya diaspora,hatupati hela za madawati,matundu ya vyoo nk?
Kwamba Uhamiaji walisema Passport zilizotolewa ni 130,000 hao ndo wamezaliana hadi kufika 1.5mil?Diaspora ni pamoja na watoto wao labda waliozaliwa huko
Passport mpya ndo hizoKwamba Uhamiaji walisema Passport zilizotolewa ni 130,000 hao ndo wamezaliana hadi kufika 1.5mil?
Kuna kitu hakiko sawa either hao ni wahamiaji haramu.
Tungekuwa na wingi huo wa diaspora tungeona hata kwenye green card watu wanajiandikisha wengi.