Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lazima wajipendekeze ili ionekane fedha za Corona zinafanya kazi kumbe zishapigwa kitamboTaarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .
Chanzo : Muungwana Blog
Amesema kwamba tangu siku ya kwanza kuingia corona nchini Tanzania , yaani tangu enzi zile haijaanza kuitwa UVIKO 19Hawa watu hata hawana aibu kusema uongo!
Huyo waziri kasema idadi hiyo ni ya kuanzia lini hadi lini? Ooooh, "tangia imeingia nchini"? Hiyo ni lini, baada ya kufa aliyekuwa anakana kuwepo kwa corona nchini mwake?
Kwahiyo unakataa taarifa kwa sababu mwendazake alikuwa akikana kuwepo Corona nchini!Hawa watu hata hawana aibu kusema uongo!
Huyo waziri kasema idadi hiyo ni ya kuanzia lini hadi lini? Ooooh, "tangia imeingia nchini"? Hiyo ni lini, baada ya kufa aliyekuwa anakana kuwepo kwa corona nchini mwake?
Hata huyo Mdee amepangwa makusudi aulize hilo swali .Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .
Chanzo : Muungwana Blog
Tunawashangaa nyinyi wana ccm kwa kuwa na ndimi mbilimbiliKwahiyo unakataa taarifa kwa sababu mwendazake alikuwa akikana kuwepo Corona nchini!
Jamaa waongo vibaya sana hawa na hawana hata aibuAmesema kwamba tangu siku ya kwanza kuingia corona nchini Tanzania , yaani tangu enzi zile haijaanza kuitwa UVIKO 19
Wafe mara ngapi midomo wazi?Matapeli wa corona wanaendelea na FUTUHI.
Ogopeni Mungu nyie wahuni, MTAKUFA midomo wazi.
Wana ujanja wa kizamani sanaLazima wajipendekeze ili ionekane fedha za Corona zinafanya kazi kumbe zishapigwa kitambo
Haunaga hoja yamsingi zaidi ya Mikurupuko tuTunawashangaa nyinyi wana ccm kwa kuwa na ndimi mbilimbili
Ningekuwa mimi ndiyo nina uwezo wa kumshauri rais huyo waziri na naibu wake leo hii wasingekuwa kwenye payroll ya serikali.Hawa watu hata hawana aibu kusema uongo!
Huyo waziri kasema idadi hiyo ni ya kuanzia lini hadi lini? Ooooh, "tangia imeingia nchini"? Hiyo ni lini, baada ya kufa aliyekuwa anakana kuwepo kwa corona nchini mwake?
Wewe mwenye hoja unanizidi nini zaidi ya wewe kuwa mzoefu wa kulala na njaaHaunaga hoja yamsingi zaidi ya Mikurupuko tu
Kubwa kwako Ucomment basi
Si mlikuwa mnadai taarifa zinafichwa sasa zimetolewa nayo mnapinga!Tunawashangaa nyinyi wana ccm kwa kuwa na ndimi mbilimbili
Ccm hakuna msafiSi mlikuwa mnadai taarifa zinafichwa sasa zimetolewa nayo mnapinga!
Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .
Chanzo : Muungwana Blog
Haya toeni taarifa yenu ya ukweli nyie wasafi.Ccm hakuna msafi