#COVID19 Serikali yasema Watu 725 Wamekufa kwa Corona nchini Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .

Chanzo : Muungwana Blog
 
Lazima wajipendekeze ili ionekane fedha za Corona zinafanya kazi kumbe zishapigwa kitambo
 
Hawa watu hata hawana aibu kusema uongo!

Huyo waziri kasema idadi hiyo ni ya kuanzia lini hadi lini? Ooooh, "tangia imeingia nchini"? Hiyo ni lini, baada ya kufa aliyekuwa anakana kuwepo kwa corona nchini mwake?
Amesema kwamba tangu siku ya kwanza kuingia corona nchini Tanzania , yaani tangu enzi zile haijaanza kuitwa UVIKO 19
 
russ.png
 
Hawa watu hata hawana aibu kusema uongo!

Huyo waziri kasema idadi hiyo ni ya kuanzia lini hadi lini? Ooooh, "tangia imeingia nchini"? Hiyo ni lini, baada ya kufa aliyekuwa anakana kuwepo kwa corona nchini mwake?
Kwahiyo unakataa taarifa kwa sababu mwendazake alikuwa akikana kuwepo Corona nchini!
 
Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .

Chanzo : Muungwana Blog
Hata huyo Mdee amepangwa makusudi aulize hilo swali .

Tunafanya kila njiaa ili tuzidi kupewa noti za kupambana na covd
 
Hii nchi Leo nmeongozana na mfanya kaz wa serkal njian tumepga story weee Ila kufka ofisini kaniambia vaa barakoa usije tuambukiza😂😂😂
 
Hawa watu hata hawana aibu kusema uongo!

Huyo waziri kasema idadi hiyo ni ya kuanzia lini hadi lini? Ooooh, "tangia imeingia nchini"? Hiyo ni lini, baada ya kufa aliyekuwa anakana kuwepo kwa corona nchini mwake?
Ningekuwa mimi ndiyo nina uwezo wa kumshauri rais huyo waziri na naibu wake leo hii wasingekuwa kwenye payroll ya serikali.
 
Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .

Chanzo : Muungwana Blog

Sio kweli tatizo Tanzania ukiwa na ugojwa wa moyo mfano ukapata corona na kufariki watasema ni moyo umekuuwa badala ya covid. Sio chini ya watu 5000 wamekufa kwa corona toka 2019
 
Back
Top Bottom