Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
[emoji38][emoji38][emoji38]Hii nchi Leo nmeongozana na mfanya kaz wa serkal njian tumepga story weee Ila kufka ofisini kaniambia vaa barakoa usije tuambukiza[emoji23][emoji23][emoji23]
Unazikumbuka zile video za mazishi kule Ununio , wale waliozikwa kwa mafungu mliwahesabu ?Haya toeni taarifa yenu ya ukweli nyie wasafi.
Hatuna haja ya kubishana na wasaka tongeHaya toeni taarifa yenu ya ukweli nyie wasafi.
Wahesabu wapi wakati mawaziri waliokuwa wafanye hiyo kazi ndiyo walikuwa wanashinda na masufuria ya kujifukiza mitaani?Unazikumbuka zile video za mazishi kule Ununio , wale waliozikwa kwa mafungu mliwahesabu ?
Kama uamini unaweza kutoa idadi unayoifahamu.Unazikumbuka zile video za mazishi kule Ununio , wale waliozikwa kwa mafungu mliwahesabu ?
Tena kwa speed kubwa sana ya 180km /hTunatafuta hela ya Mabeberu!
Tunajua mnapigana kuhakikisha mna haralisha msaada wa fedha za mabe eruKama uamini unaweza kutoa idadi unayoifahamu.
Mkwere aliwahi sema kuwa ukitaka kula lazima nawe uliwe...."Pesa ya Mtu hailiwi bure"
hao wameshakula hela za corona.ni lazma wajikaange wenyewe.Kwahiyo unakataa taarifa kwa sababu mwendazake alikuwa akikana kuwepo Corona nchini!
Wanamtumikia kafiri hivyo lazima wafanye anavyotaka.hao wameshakula hela za corona.ni lazma wajikaange wenyewe.
Kwa nini?Ningekuwa mimi ndiyo nina uwezo wa kumshauri rais huyo waziri na naibu wake leo hii wasingekuwa kwenye payroll ya serikali.
Hiyo taarifa ni takwimu za wiki, mwezi, miezi 3,6 au 12.je zimeainisha kundi lililoathirika zaidi, chini ya 18,30,45,60 au zaidi ya hapo, je imeainisha maeneo yaliyoathirika zaidi, kikanda, kimkoa , kiwilaya n. K, au?Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .
Chanzo : Muungwana Blog
Ili tumbo ishibe🤸.Wanamtumikia kafiri hivyo lazima wafanye anavyotaka.
Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .
Chanzo : Muungwana Blog
Hapana mkuu, mshauriwa mwenyewe ndiye kinara wa hayo; sasa wewe utamshauri vipi kuhusu mambo anayoyajua yeye mwenyewe vizuri kabisa, si utaonekana wewe ndiye mwenye tatizo?Ningekuwa mimi ndiyo nina uwezo wa kumshauri rais huyo waziri na naibu wake leo hii wasingekuwa kwenye payroll ya serikali.
Ni wapi niliposema hivyo?Kwahiyo unakataa taarifa kwa sababu mwendazake alikuwa akikana kuwepo Corona nchini!
Hawa hawakutakiwa kuwepo kwenye payroll ya serikali maana walituaminisha kuwa hakuna corona kipindi cha jiweHapana mkuu, mshauriwa mwenyewe ndiye kinara wa hayo; sasa wewe utamshauri vipi kuhusu mambo anayoyajua yeye mwenyewe vizuri kabisa, si utaonekana wewe ndiye mwenye tatizo?