#COVID19 Serikali yasema Watu 725 Wamekufa kwa Corona nchini Tanzania

#COVID19 Serikali yasema Watu 725 Wamekufa kwa Corona nchini Tanzania

Hii nchi Leo nmeongozana na mfanya kaz wa serkal njian tumepga story weee Ila kufka ofisini kaniambia vaa barakoa usije tuambukiza[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Unazikumbuka zile video za mazishi kule Ununio , wale waliozikwa kwa mafungu mliwahesabu ?
Wahesabu wapi wakati mawaziri waliokuwa wafanye hiyo kazi ndiyo walikuwa wanashinda na masufuria ya kujifukiza mitaani?
 
Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .

Chanzo : Muungwana Blog
Hiyo taarifa ni takwimu za wiki, mwezi, miezi 3,6 au 12.je zimeainisha kundi lililoathirika zaidi, chini ya 18,30,45,60 au zaidi ya hapo, je imeainisha maeneo yaliyoathirika zaidi, kikanda, kimkoa , kiwilaya n. K, au?
 
Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .

Chanzo : Muungwana Blog

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila hii nchi inaviongozi waongo saaaaaana.
 
Ningekuwa mimi ndiyo nina uwezo wa kumshauri rais huyo waziri na naibu wake leo hii wasingekuwa kwenye payroll ya serikali.
Hapana mkuu, mshauriwa mwenyewe ndiye kinara wa hayo; sasa wewe utamshauri vipi kuhusu mambo anayoyajua yeye mwenyewe vizuri kabisa, si utaonekana wewe ndiye mwenye tatizo?
 
Kwahiyo unakataa taarifa kwa sababu mwendazake alikuwa akikana kuwepo Corona nchini!
Ni wapi niliposema hivyo?

Kwamba "naikataa taarifa kwa sababu mwenda zake alikuwa akikana kuwepo Corona nchini"? Kwani wewe huoni kuwa hilo lilikuwa swali?

Hata hivyo, tueleze wewe unaikubali taarifa hiyo kwa msingi upi? Kuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu tarakimu hizo zimepatikana kwa njia gani na tokea tarehe ngapi hadi wakati gani?
 
Hapana mkuu, mshauriwa mwenyewe ndiye kinara wa hayo; sasa wewe utamshauri vipi kuhusu mambo anayoyajua yeye mwenyewe vizuri kabisa, si utaonekana wewe ndiye mwenye tatizo?
Hawa hawakutakiwa kuwepo kwenye payroll ya serikali maana walituaminisha kuwa hakuna corona kipindi cha jiwe
 
Back
Top Bottom