masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Waziri akaze kamba.At last serikali kupitia waziri wa Ujenzi ndg Abdalla Ulega, imesema rasmi leo kuwa hairidhishwi na spidi ya ujenzi wa barabara ya DART inayotegemewa kuwa ya mabasi ya mwendokasi.
Akiongea na makndarasi, katika mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makadarasi CRB, waziri Ulega ameema ndani ya hizi siku mbili, serikali itawachulia hatua makandarasi wa miradi hiyo.
Big up waziri Ulega.