Serikali yashtuka na DART: Waziri Ulega awalipua wakandarasi wa barabara ya mwendokasi

Waziri akaze kamba.
 
LIPENI MAKANDARASI

KAMA MAKANDARASI WANALIA HADHARANI HAWALIPWI MNATUFANYA MAPOYOYO HATUJUI KWANN AWAENDELEI NA UJENZI NENDENI NJIA YA UBUNGO ULIZEN MPEWE YKWELI
Kweli kabisa mkuu,
Karibu njia zote zinazotenegezwa na hao wachina zona matatizo.
 
Sio BRT tu..miradi mingi ya barabara imesimama na tatizo ni fedha!
Aache kutuona ss majuha!
Inavoelekea serikali ilitaka kufanya miujiza ya ujenzi wa barabara nyingi na hasa hizi za Jiji la Dar kabla ya uchaguzi, lakini hilo sasa linawatokea kooni, maana inaelekea hakuna fedha za miradi hiyo.
 
Huyo waziri si juzi juzi tu hapa alikuwa anazunguka Dar kuchimba biti hao wachina na kuwapa timeline...

Ina maana hakuna kitu wamefanya hadi aje na mkwara namba 2?
Huyu waziri tutamlaumu bure, haya madudu ya DART Dar es salaam ameyakuta.
 
Si ndo huyu aliwafukuza wakandarasi wa barabara ya Pangani, yaani ni kichekesho kweli, hiyo barabara ina danadana nyingi, eti wakandarasi wameshindwa hawana pesa za kufanya kazi. Hadi Leo tunatembelea barabara za wakoloni, hizi ni laana.
 
Hii ndio serikali ya CHURA na walafi wenzie. Tunaibiwa MNO na lawama anapewa mkandarasi.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Wakandarasi wanaangushiwa jumba bovu, kujenga barabara ambayo hiohio ndio inatumika si mchezo, labda ziwe zinafungwa kwa muda.
 
Kiki za uchaguzi hizi,so lazima wawe wakali tuwaone wanapiga kazi.
 
Tanzania bana sasa wakishajenga ili wapitishe vifaru humo? Mbagala yenyewe imekamilika lakini inachakaa kwa kukosa magari yaani ukiwa siisiiemu unakuwa na kautaahira flani hivi huwezi kufanya lolote la maana.
Sio tahira maybe wanatajirika kwa mgongo wa wanaowaona ni matahira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…