Serikali yasitisha huduma za TIA SMILE Massage & SPA kwa kukiuka Sheria

Hii biashara imevamiwa na wAshamba sasa mtu unaweka
Tangazo unaonesha kila kitu
Jamii inaona nini kinafanyika
Unamchukua dotto magari na wapiga
Domo wengine mnawaonesha mkiwakogesha...
Kuna massage ziko masaki obay msasani miaka nenda rudi...hata picha wala video huioni
Biashara ikishavamiwa na washamba,mly wachaf tabu tupu

Ova
 
Mzee kuwa muungwana basi, hiyo video iko wapi?
 
Aanze na madanguro
1. Tandika Sokoni,
2. Temeke Sudan,
3. Sugar Ray,
4. Bugurun Sokoni,
5. Mwananyamala Hospitali,
6. Manzese mferejini,
7. Uwanja wa Fisi
8. Msasani Macho.
Bei kuanzia 3,000/round. Bodaboda na walinzi wa Kimasai ndo wanashinda huko
sema na wewe ni mteja ila mpaka video ivuje ndio hatua zitachukuliwa.

kama wanafanya kwa siri no problem
 
Serikali inajiendesha bila utaratibu! Yaani watu wanaoanza shughuli na biashara, serikali haina habari, wala kujua kuwa kuna sheria zinakiukwa na hivyo taasisi, ni mpaka wanapotokea kufanya jambo tofauti na ukiukwaji ya hiyo sheria, ndio serikali inaamka kutoka usingizini na kuifungia biashara. Hamna utaratibu wa kufuatilia usajili na hatimae mwenendo wa biashara? Kungekuwa na huo utaratibu haya mengine ya kwenda kinyume na maadili yasingetokea.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kabla sijafika nyumbani inabidi nipitie hapo nione kuna tatizo gani
 
Hili na jambo la kushughulikiwa na wizara??
 
Kama video haitumwi huu uzi wa kazi gani?..Sie hilo tangazo la nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…