Serikali yasitisha tozo ya Tsh 100 kwa kila lita ya mafuta, yasema itapoteza Sh bilioni 30 kwa mwezi

Utashangaa EWURA wanakuja na bei mpya zikiwa zimepata wakisingizia kupanda kwa bei katika soko la Dunia as if mafuta yanayouzwa sasa yameagizwa jana.
 
M
Mbona haijasainiwa na viongozi wa wizara husika
 
Ni jambo jema!

Mafuta yameshapanda bei kwenye soko la dunia hapatakuwa na unafuu wowote!
Ni wajinga tu ndio watasikiliza upuuuzi huo wanaotuambia. Mtu anakwambia anapunguza bei wakati waliongeza kilanguzi na sasa bei ya mafuta inapanda maradufu zaidi which means hiyo 100 wanayotoa ni unafiki tu hakuna nafuu yoyote maana bei itakuwa juu maradufu juu ya hiyo.

Upuuzi tu hapo umewajaa.
 
Kwa kusitisha hadi huo mudanina maana wakija kuirudisha itakuwa Tsh 200!?
Tuendelee kucheza muziki.
 
Huu ni ujinga, yaani unaondoa chanzo ambacho Kiko committed kwenye kugharamia barabara za Tarura?

Mbona kuna tozo na Kodi nyingi zisizo na maana kwenye bei ya mafuta?

Wakandarasi mliochukua tender za serikali kwa kutegemea pesa ya tozo hesabu maumivu.
 
Waondoe upuuzi wa Bima kwenye pikipiki, trafiki waache kukamata bodaboda kisa helmeti, kadi na lessen, waache pikipiki ziendeshwe pasipo bughudha alafu utumiaji wa mafuta utapanda kwa kasi na kuziba hayo mapengo
 
Umemjibu vizuri sana na kwa mifano hai, nakupongeza mno
 
Nonsense

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Nikajua wametoa tangazo tumebuni kiwanda chetu cha kudharisha hayo mafuta tukaachana na kuagiza[emoji24][emoji24][emoji24] kumbe punguzo haya tumewasikia mbona mngekaa kimya
Tungejua au mlitaka kutuambia mnapoteza bilion30[emoji23][emoji23][emoji23]tumewasoma[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Usishangae wameondoa mia, watapongeza mia tatu kwenye mafuta.
 
Mjadala wa kuhusu tozo ya mafuta :
Na madhaifu ya bunge ktk kujadili, kurekebisha na kuisimamia serikali kwenye masuala ya bajeti na kuisimamia serikali ktk matumizi ya fedha
:

Bunge la kutunga Bajeti na mamlaka ya kutunga sheria za fedha, kugawa fedha na kuisimamia serikali: Shida ipo wapi ? Katika katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 98 ya kutunga sheria za fedha : Bunge litajadili hoja kuhusu fedha iwapo itakubaliwa na Rais na hoja hiyo kuletwa mbele ya Bunge na waziri wa fedha. Maana yake serikali inaandaa kila kitu kuhusu bajeti huku wabunge hawana uwezo wa kuijadili kwa kina kutokana na kukosa uelewa anasema Tundu Lissu...
Source : Mubashara Studio



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…