Kwanza nashukuru sana prof kukanusha uvumi huu, na ingelikuwa ni mshangao mkubwa sana duniani kote kuachana na the first ever project like this in Tanzania na Africa nzima. Binafsi nashauri serikali iendelee na programme zake za ujenzi wa bandari Tanga na mtwara, pia to upgrade bandari ya Dar ili kuongeza capacity. Ndg zangu watanzania, tanzania ya sasa inahitaji longterm/plan ya zaidi ya miaka 50 iyajo, Dar es salaam popilation inaongezeka, after 50 yrs to come, dar pekee itakuwa na watu karibu au zaidi ya mil 10, hivyo bandari ya Dar itaweza kuhudumia watu wa dar , pwani na morogoro tu. Wakti huo tukaiangalia Mtwara na Lindi ,ruvuma kule kote miji inakuwa na population inaongezeka, wao watatumia bandari ya Mtwara. Tanga,moshi , arusha, zambia ,malawi ,uganda kule kote wanaweza tumia bandari ya tanga, walio baki wote watu kati, kanda ya ziwa hadi rwanda ,burundi , kongo wanatumia hii ya bagamoyo. Ni serikali kuamua na kuweka sheri. Tukiangalia Bagamoyo port kwa kuwa inajengwa kisasa na itakuwa na viwanda, inatoa back up kwa dar na pia kwa nchi jirani. Kuna watu wanasema bandari hii ya bagamoyo itaua bandari zetu hili sio kweli, maana serikali lazima iweke mkataba kati ya wahisani na serikali, kuna mgawanyo wa mapato, kumbukeni hii bandari itakuwa na viwanda, sehemu kubwa ya nchi za africa zitakuwa zinakuja Tanzania kuchukua bidhaa hapa, hivo pato /export kwa taifa litaongezeka, kwahiyo hata kama serikali ikichukua 40% ya mapato yote yatakayo si kidogo, 40%ya mapato ya invest of 10 B usd ni mara 10 ya mapato tutakayopata bandari ya dar. Pili watanzania ndugu zangu tujifunzeni kushindana, tunahofia bandari zetu kufa kwa sababu sisi sio washindani, waoga, wapenda madili, wizi na ufisadi, incompetence. Tujiulize, kwanini NMB inafanya kazi haijafa kukiwa na bank lukuki za wageni Tanzania? let's learn on how to compete, isije ikawa kila miradi mikubwa inakuja tanzania tunakataa kwa sababu ya kuogopa ushindani. Hatuwezi kwenda uchumi wa kati just kwa kukarabati bandari kila mwaka ndugu zangu, ni sawa na kupaka rangi upepo. Magufuli kama anataka tanzania hii ikimbie, kwanza bagamoyo port lazima ijengwe hata kama watu watalala njaa,pili piga modern airport Moshi na Zanzibar, za kisasa zaidi, pili fufua ATCL, toa kama trillion 1 ya kuanzia ili tuweze kununua ndege za kisasa kina dreamliner kama tatu/nne ziweze kwenda nje ya nchi, then serikali concentrate na kukusanya mapato. Tanzania inaweza endelea just kwa bandari na airport tukiachilia mbali madini na gesi. Leo hii tunasubiri watalii waje na KQ or ethiopia airlines wafikie nchi zao then waje Tanzania, mabog gani, Nilitegemea magufuli after muhimbili aende ATCL, natamani hata kesho magufuli tuanze kununua ndege za maana, nchi kubwa tunashindwa na rwanda , hatuna airline yetu eti tunategemea precision air na fastjet serious? . Tunahitaji good project this time ambazo zitagenerate revenue ya maana, sio huu upuuzi wa kila mwaka. Leo hii kwa sababu ya uoga wa watanzania, niambieni kama tuna investment yeyote ile nchi jirani , hata kama ni investment za ki bank owned by Tanzania government, jibu hakuna, kila mwaka tunafanya biashara pale pale dar / tanzania, tunapata mapato yale yale, niambieni watu waliko uganda, do we have NMB in uganda, kenya, rwanda or burundi? university of dar iko pale pale, do we have any branch of dar university hata kwenye taifa dogo kama sudani? taasisi kama hizi kwa sasa kwenye dunia hii ya ushindani zinatakiwa ziendeshwe kibiashara zaidi, sio kukaa na kusubiri pesa kutoka serikalini kila mwaka. Toka tupate mlimani city shopping mall , je wametapakaa popote pale hapo dar? wanakusanya pesa zinakwenda wapi kama wahawezi kuexpand market, haya ndo majibu ya miaka nenda rudi ya tanzania, leo hii tunalia lia kila siku.