Serikali yataka Watanzania kumpuuza Profesa Assad kuwa 60% ya Viongozi wa Umma nchini hawana uwezo

Tafiti hupingwa kwa Tafiti mpya , Ndumbaro aliyefungiwa na TFF kujihusisha na soka milele kwa tuhuma za utapeli amefanya wapi utafiti kumpinga Profesa Assad ?
 
Ukweli ndo uwezo hamna...na wapuuzi kabisaa
 
Sisi yyte yule ambae yuko kinyume na Hayati JPM huwa tunampuuza.

Kwa akili zake akipewa hii nchi ataiweza au anaongea tu...hii nchi sio ya kuendesheshwa kidemokrasia...hii ya of the people, by the people for the people!
Nyie wanyonya damu, kwanini mnafurahia mifereji ya damu za watu wasio na hatia?
 
Huyu Ndumbaro si ndio yule aliempa Masters ya kuhonga Jesca wa Dikteta Jiwe baadae ndio akapewa asante ya Ukatibu Mkuu?
Jamaa n nyoko Sana anamfundisha demu wangu masters hapo udom full kumsumbua sumbua watumish wa umma wawe wanatosheka na kazi zao mtu mmoja kaz mbilimbili
 
Mungu afanye miugiza ! Mara Wakenya wahamie Tz nasi tuende Kenya ! Kwa mda mfupi Tz itapaa kiuchumi na Kenya itadidimia kiuchumi kwani kazi yetu kubwa "kila kiongozi anachukua chake mapema " Tuchunguze kwa makini maoni ya professor .

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Huyu anae sema Prof. Assad apuuzwe ata ficha wapi uso wake kesho Assad akiteuliwa kuwa boss wake?
Hizi kazi sio lazima kila kitu kujibu. Tena negative... Akili za kuambiwa changanya na za kwako Ndumbaro!!!
 
Ni kweli huyu ni wa kupuuzwa. Ni kama anatafuta kiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…