Prove to us please! A lot has happened during the last 5years and now more than 60% are refuting to be part of the 5 years. Ndumbaro please please prove to us otherwise we are now nearly crystal clear that our taxes are paying bogus/idiots of the system.Dar es Salaam. Katibu mkuu ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Dk Laurean Ndumbaro amewataka Watanzania kumpuuza aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad kwa kutoa tuhuma kuwa maofisa na viongozi katika taasisi za umma wana uwezo mdogo wa utendaji.
Dk Ndumbaro ametoa wito huo kwa Watanzania leo Alhamisi Aprili 15, 2021 kupitia vyombo vya habari, akimponda Profesa Assad ambaye hivi karibuni katika mdahalo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro (MUM), alidai asilimia 60 ya watumishi na viongozi wa umma nchini hawana uwezo wa kutekeleza majukumu yao na asilimia 40 wana uwezo kidogo.
Akifafanua kuhusu uwezo wa utendaji walionao watumishi, Dk Ndumbaro amesema tuhuma alizozitoa Profesa Assad zilijikita katika hisia na maoni yake binafsi kuliko uwezo wa kiakili na kitaaluma alionao na wala hakufanya tafiti.
Amesema watumishi na viongozi wanatekeleza majukumu yao vizuri na ndio maana nchi imepata maendeleo makubwa katika sekta za elimu, miundombinu pamoja na afya na hatimaye Taifa limeingia katika uchumi wa kati.
Amefafanua kuwa watumishi watendaji na viongozi wa umma hupanda au kuteuliwa kuwa viongozi katika utumishi wa umma kwa mujibu wa miongozo ya utumishi wa umma ambayo pamoja na mambo mengine huzingatia sifa mbalimbali za weledi na vigezo vya majukumu wanayopaswa kuyatekeleza.
Ametoa mfano wa namna Serikali inavyohakikisha inakuwa na rasilimali watu yenye sifa stahiki kwa kuzingatia ipasavyo sera ya menejimenti na ajira katika utumishi wa umma kifungu namba 4.3 (ii) ambayo imebainisha kuwa, vigezo vya uteuzi katika utumishi wa umma vizingatie uwiano kati ya taaluma na ujuzi wa kazi pamoja na sifa nyingine kama uzoefu kazini, rekodi kazini na uwezo wa kujifunza.
Dk Ndumbaro ameuthibitishia umma kuwa, watumishi wana uwezo kiutendaji kwani wanapoteuliwa kwa mara ya kwanza kushika nafasi za uongozi katika taasisi za Serikali, hupatiwa mafunzo elekezi ya utawala na uongozi ndani ya kipindi cha miezi mitatu hivyo kuondoa uwezekano wa kuwa na viongozi wasiokuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Chanzo: Mwananchi
Pia soma > Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo
Nimeshangaa sana Assad kudharau watumishi wa umma kiasi hicho cha kusema 60% or more hawana uwezo.
Assad alikua mjumbe wa bodi ya NSSF, tena alikua mwenyekiti wa audit committee lakini kila mtu anajua NSSF ina hali gani na hata juzi Rais amesema NSSF ina hali mbaya inaelekea kufa kifo cha mende.
NSSF ndio ilikua inaongoza kwa ujinga, miradi ya hovyo, miradi isiyoqeza kurudisha gharama za uwekezaji na mambo kama hayo, yeye alikua mmoja wa wamiliki(director) aliisaidia nini NSSF zaidi ya kujigawia nyumba walizojenga bila kufuata utaratibu wa tendering huku akiwa na mgongano wa kimaslahi.
Assad alikua mmiliki(board chairman/director) wa NBC. Kipindi cha utawala wake ama umiliki wake yeye bank ilielekea kufa, ilikua very close ifilisike ama ifungwe.
Mbona hatukuona hiyo competence yake ama mbona hakutuonyesha jinsi yeye alivyo brainy saana.
Ukiacha ualimu wa chuo kikuu na u CAG, Assad amekua mkurugenzi/director wa taasisi nyingi sana, signature yake ni nini kwenye hizo taasisi ili kweli tujue yeye ni brainy sana.
Assad ni wa kupuuzwa.
Mkuu usimchanganye Dau na AssadNimeshangaa sana Assad kudharau watumishi wa umma kiasi hicho cha kusema 60% or more hawana uwezo.
Assad alikua mjumbe wa bodi ya NSSF, tena alikua mwenyekiti wa audit committee lakini kila mtu anajua NSSF ina hali gani na hata juzi Rais amesema NSSF ina hali mbaya inaelekea kufa kifo cha mende.
NSSF ndio ilikua inaongoza kwa ujinga, miradi ya hovyo, miradi isiyoqeza kurudisha gharama za uwekezaji na mambo kama hayo, yeye alikua mmoja wa wamiliki(director) aliisaidia nini NSSF zaidi ya kujigawia nyumba walizojenga bila kufuata utaratibu wa tendering huku akiwa na mgongano wa kimaslahi.
Assad alikua mmiliki(board chairman/director) wa NBC. Kipindi cha utawala wake ama umiliki wake yeye bank ilielekea kufa, ilikua very close ifilisike ama ifungwe.
Mbona hatukuona hiyo competence yake ama mbona hakutuonyesha jinsi yeye alivyo brainy saana.
Ukiacha ualimu wa chuo kikuu na u CAG, Assad amekua mkurugenzi/director wa taasisi nyingi sana, signature yake ni nini kwenye hizo taasisi ili kweli tujue yeye ni brainy sana.
Assad ni wa kupuuzwa.
Safari hii kazi ipo 🤔🤔Dar es Salaam. Katibu mkuu ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Dk Laurean Ndumbaro amewataka Watanzania kumpuuza aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad kwa kutoa tuhuma kuwa maofisa na viongozi katika taasisi za umma wana uwezo mdogo wa utendaji.
Dk Ndumbaro ametoa wito huo kwa Watanzania leo Alhamisi Aprili 15, 2021 kupitia vyombo vya habari, akimponda Profesa Assad ambaye hivi karibuni katika mdahalo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro (MUM), alidai asilimia 60 ya watumishi na viongozi wa umma nchini hawana uwezo wa kutekeleza majukumu yao na asilimia 40 wana uwezo kidogo.
Akifafanua kuhusu uwezo wa utendaji walionao watumishi, Dk Ndumbaro amesema tuhuma alizozitoa Profesa Assad zilijikita katika hisia na maoni yake binafsi kuliko uwezo wa kiakili na kitaaluma alionao na wala hakufanya tafiti.
Amesema watumishi na viongozi wanatekeleza majukumu yao vizuri na ndio maana nchi imepata maendeleo makubwa katika sekta za elimu, miundombinu pamoja na afya na hatimaye Taifa limeingia katika uchumi wa kati.
Amefafanua kuwa watumishi watendaji na viongozi wa umma hupanda au kuteuliwa kuwa viongozi katika utumishi wa umma kwa mujibu wa miongozo ya utumishi wa umma ambayo pamoja na mambo mengine huzingatia sifa mbalimbali za weledi na vigezo vya majukumu wanayopaswa kuyatekeleza.
Ametoa mfano wa namna Serikali inavyohakikisha inakuwa na rasilimali watu yenye sifa stahiki kwa kuzingatia ipasavyo sera ya menejimenti na ajira katika utumishi wa umma kifungu namba 4.3 (ii) ambayo imebainisha kuwa, vigezo vya uteuzi katika utumishi wa umma vizingatie uwiano kati ya taaluma na ujuzi wa kazi pamoja na sifa nyingine kama uzoefu kazini, rekodi kazini na uwezo wa kujifunza.
Dk Ndumbaro ameuthibitishia umma kuwa, watumishi wana uwezo kiutendaji kwani wanapoteuliwa kwa mara ya kwanza kushika nafasi za uongozi katika taasisi za Serikali, hupatiwa mafunzo elekezi ya utawala na uongozi ndani ya kipindi cha miezi mitatu hivyo kuondoa uwezekano wa kuwa na viongozi wasiokuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Chanzo: Mwananchi
Pia soma > Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo
Naona wameguswa na jiwe lililorushwa gizaniDar es Salaam. Katibu mkuu ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Dk Laurean Ndumbaro amewataka Watanzania kumpuuza aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad kwa kutoa tuhuma kuwa maofisa na viongozi katika taasisi za umma wana uwezo mdogo wa utendaji.
Dk Ndumbaro ametoa wito huo kwa Watanzania leo Alhamisi Aprili 15, 2021 kupitia vyombo vya habari, akimponda Profesa Assad ambaye hivi karibuni katika mdahalo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro (MUM), alidai asilimia 60 ya watumishi na viongozi wa umma nchini hawana uwezo wa kutekeleza majukumu yao na asilimia 40 wana uwezo kidogo.
Akifafanua kuhusu uwezo wa utendaji walionao watumishi, Dk Ndumbaro amesema tuhuma alizozitoa Profesa Assad zilijikita katika hisia na maoni yake binafsi kuliko uwezo wa kiakili na kitaaluma alionao na wala hakufanya tafiti.
Amesema watumishi na viongozi wanatekeleza majukumu yao vizuri na ndio maana nchi imepata maendeleo makubwa katika sekta za elimu, miundombinu pamoja na afya na hatimaye Taifa limeingia katika uchumi wa kati.
Amefafanua kuwa watumishi watendaji na viongozi wa umma hupanda au kuteuliwa kuwa viongozi katika utumishi wa umma kwa mujibu wa miongozo ya utumishi wa umma ambayo pamoja na mambo mengine huzingatia sifa mbalimbali za weledi na vigezo vya majukumu wanayopaswa kuyatekeleza.
Ametoa mfano wa namna Serikali inavyohakikisha inakuwa na rasilimali watu yenye sifa stahiki kwa kuzingatia ipasavyo sera ya menejimenti na ajira katika utumishi wa umma kifungu namba 4.3 (ii) ambayo imebainisha kuwa, vigezo vya uteuzi katika utumishi wa umma vizingatie uwiano kati ya taaluma na ujuzi wa kazi pamoja na sifa nyingine kama uzoefu kazini, rekodi kazini na uwezo wa kujifunza.
Dk Ndumbaro ameuthibitishia umma kuwa, watumishi wana uwezo kiutendaji kwani wanapoteuliwa kwa mara ya kwanza kushika nafasi za uongozi katika taasisi za Serikali, hupatiwa mafunzo elekezi ya utawala na uongozi ndani ya kipindi cha miezi mitatu hivyo kuondoa uwezekano wa kuwa na viongozi wasiokuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Chanzo: Mwananchi
Pia soma > Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo
"hii nchi sio yakuendeshwa kidemocrasia"Sisi yyte yule ambae yuko kinyume na Hayati JPM huwa tunampuuza.
Kwa akili zake akipewa hii nchi ataiweza au anaongea tu...hii nchi sio ya kuendesheshwa kidemokrasia...hii ya of the people, by the people for the people!
Naunga mkono hoja.Hatuwezi kumpuuza Msomi Prof Assad, labda tumpuuze Dr Ndumbaro.
Chawa katika ubora wake.Prof. Assad should be declared an enemy of state, an enemy of the people, ASAP.
Huwezi mpuuza profesa,labda tutakupuuza wewe,na ndumbaro wakoNimeshangaa sana Assad kudharau watumishi wa umma kiasi hicho cha kusema 60% or more hawana uwezo.
Assad alikua mjumbe wa bodi ya NSSF, tena alikua mwenyekiti wa audit committee lakini kila mtu anajua NSSF ina hali gani na hata juzi Rais amesema NSSF ina hali mbaya inaelekea kufa kifo cha mende.
NSSF ndio ilikua inaongoza kwa ujinga, miradi ya hovyo, miradi isiyoqeza kurudisha gharama za uwekezaji na mambo kama hayo, yeye alikua mmoja wa wamiliki(director) aliisaidia nini NSSF zaidi ya kujigawia nyumba walizojenga bila kufuata utaratibu wa tendering huku akiwa na mgongano wa kimaslahi.
Assad alikua mmiliki(board chairman/director) wa NBC. Kipindi cha utawala wake ama umiliki wake yeye bank ilielekea kufa, ilikua very close ifilisike ama ifungwe.
Mbona hatukuona hiyo competence yake ama mbona hakutuonyesha jinsi yeye alivyo brainy saana.
Ukiacha ualimu wa chuo kikuu na u CAG, Assad amekua mkurugenzi/director wa taasisi nyingi sana, signature yake ni nini kwenye hizo taasisi ili kweli tujue yeye ni brainy sana.
Assad ni wa kupuuzwa.
Huyo magufuli wako kama angeendelea kuishi, naamini ungekuwa zezeta kuliko hata ulivyo hivi sasa.Sisi yyte yule ambae yuko kinyume na Hayati JPM huwa tunampuuza.
Kwa akili zake akipewa hii nchi ataiweza au anaongea tu...hii nchi sio ya kuendesheshwa kidemokrasia...hii ya of the people, by the people for the people!
hizo taasis ulizo zitaja. ni kwamba assad alikuwa anafanya maamuzi mwenyewe?Nimeshangaa sana Assad kudharau watumishi wa umma kiasi hicho cha kusema 60% or more hawana uwezo.
Assad alikua mjumbe wa bodi ya NSSF, tena alikua mwenyekiti wa audit committee lakini kila mtu anajua NSSF ina hali gani na hata juzi Rais amesema NSSF ina hali mbaya inaelekea kufa kifo cha mende.
NSSF ndio ilikua inaongoza kwa ujinga, miradi ya hovyo, miradi isiyoqeza kurudisha gharama za uwekezaji na mambo kama hayo, yeye alikua mmoja wa wamiliki(director) aliisaidia nini NSSF zaidi ya kujigawia nyumba walizojenga bila kufuata utaratibu wa tendering huku akiwa na mgongano wa kimaslahi.
Assad alikua mmiliki(board chairman/director) wa NBC. Kipindi cha utawala wake ama umiliki wake yeye bank ilielekea kufa, ilikua very close ifilisike ama ifungwe.
Mbona hatukuona hiyo competence yake ama mbona hakutuonyesha jinsi yeye alivyo brainy saana.
Ukiacha ualimu wa chuo kikuu na u CAG, Assad amekua mkurugenzi/director wa taasisi nyingi sana, signature yake ni nini kwenye hizo taasisi ili kweli tujue yeye ni brainy sana.
Assad ni wa kupuuzwa.
Are you the state? Assad is right as also shown in the constitution.Prof. Assad should be declared an enemy of state, an enemy of the people, ASAP.
Kama aliweza kushika nyadhifa zote hizo bila kuperform na bado akateuliwa kuwa CAG ndio maana kauli yake inamashikoNimeshangaa sana Assad kudharau watumishi wa umma kiasi hicho cha kusema 60% or more hawana uwezo.
Assad alikua mjumbe wa bodi ya NSSF, tena alikua mwenyekiti wa audit committee lakini kila mtu anajua NSSF ina hali gani na hata juzi Rais amesema NSSF ina hali mbaya inaelekea kufa kifo cha mende.
NSSF ndio ilikua inaongoza kwa ujinga, miradi ya hovyo, miradi isiyoqeza kurudisha gharama za uwekezaji na mambo kama hayo, yeye alikua mmoja wa wamiliki(director) aliisaidia nini NSSF zaidi ya kujigawia nyumba walizojenga bila kufuata utaratibu wa tendering huku akiwa na mgongano wa kimaslahi.
Assad alikua mmiliki(board chairman/director) wa NBC. Kipindi cha utawala wake ama umiliki wake yeye bank ilielekea kufa, ilikua very close ifilisike ama ifungwe.
Mbona hatukuona hiyo competence yake ama mbona hakutuonyesha jinsi yeye alivyo brainy saana.
Ukiacha ualimu wa chuo kikuu na u CAG, Assad amekua mkurugenzi/director wa taasisi nyingi sana, signature yake ni nini kwenye hizo taasisi ili kweli tujue yeye ni brainy sana.
Assad ni wa kupuuzwa.
Tafuta meaning ya enemy of state na hatua zake za declare hiyo kitu. serikal haifanyi kazi kwa mihemko.Prof. Assad should be declared an enemy of state, an enemy of the people, ASAP.