Serikali yataka Watanzania kumpuuza Profesa Assad kuwa 60% ya Viongozi wa Umma nchini hawana uwezo

Calculation ya 60 % imekokotolewa kwa utafiti wa methodology gani? Ushabiki pembeni, hili suala linahitaji majibu.
Labda angesema tu wengi.
nafikiri maswali kama hayo nikumuuliza yeye mwenyewe assad. humu ndani utaambulia ushabiki na tetesi tu
 
Tafuta meaning ya enemy of state na hatua zake za declare hiyo kitu. serikal haifanyi kazi kwa mihemko.
assad hana sumu he is not even close kuwa enemy of state
He is rather Friend of the state!! But he is not coward either.
 
Unajua maana ya kua director, maana yake wewe ni owner, ni mmiliki.

Maamuzi yoyote ya taasisi yanatoka kwa mmiliki.

Saa hapo alaumiwe mmiliki ama wafanyakazi?
Yeuuuuwi!!! Kwa hiyo director tafsiri yake ni "mmiliki"???!! aisee Assad kwenye ile 60 ongeza 30 kabisa!!! Na owner atakuwa nani? Na CEO aitwe nani? Sasa unapokuta kampuni ina Technical director,managing director,na chief executive officer utasema hiyo kampuni ina wamiliki wangapi? Bure kabisa
 
Dar es Salaam. Katibu mkuu ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Dk Laurean Ndumbaro amewataka Watanzania kumpuuza aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad kwa kutoa tuhuma kuwa maofisa na viongozi katika taasisi za umma wana uwezo mdogo wa utendaji.

Dk Ndumbaro ametoa wito huo kwa Watanzania leo Alhamisi Aprili 15, 2021 kupitia vyombo vya habari, akimponda Profesa Assad ambaye hivi karibuni katika mdahalo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro (MUM), alidai asilimia 60 ya watumishi na viongozi wa umma nchini hawana uwezo wa kutekeleza majukumu yao na asilimia 40 wana uwezo kidogo.

Akifafanua kuhusu uwezo wa utendaji walionao watumishi, Dk Ndumbaro amesema tuhuma alizozitoa Profesa Assad zilijikita katika hisia na maoni yake binafsi kuliko uwezo wa kiakili na kitaaluma alionao na wala hakufanya tafiti.

Amesema watumishi na viongozi wanatekeleza majukumu yao vizuri na ndio maana nchi imepata maendeleo makubwa katika sekta za elimu, miundombinu pamoja na afya na hatimaye Taifa limeingia katika uchumi wa kati.

Amefafanua kuwa watumishi watendaji na viongozi wa umma hupanda au kuteuliwa kuwa viongozi katika utumishi wa umma kwa mujibu wa miongozo ya utumishi wa umma ambayo pamoja na mambo mengine huzingatia sifa mbalimbali za weledi na vigezo vya majukumu wanayopaswa kuyatekeleza.

Ametoa mfano wa namna Serikali inavyohakikisha inakuwa na rasilimali watu yenye sifa stahiki kwa kuzingatia ipasavyo sera ya menejimenti na ajira katika utumishi wa umma kifungu namba 4.3 (ii) ambayo imebainisha kuwa, vigezo vya uteuzi katika utumishi wa umma vizingatie uwiano kati ya taaluma na ujuzi wa kazi pamoja na sifa nyingine kama uzoefu kazini, rekodi kazini na uwezo wa kujifunza.

Dk Ndumbaro ameuthibitishia umma kuwa, watumishi wana uwezo kiutendaji kwani wanapoteuliwa kwa mara ya kwanza kushika nafasi za uongozi katika taasisi za Serikali, hupatiwa mafunzo elekezi ya utawala na uongozi ndani ya kipindi cha miezi mitatu hivyo kuondoa uwezekano wa kuwa na viongozi wasiokuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma > Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo
Binafsi nilimwona Assad ndio hana uwezo, hata kiingereza chake hakina hadhi ya kiprofesa kama yeye, ana ze ze zee kibao, tenses anachanganya, halafu ana hasira sana, very extremist, ASSAD ni imojawapo ya watu ambao hawakutakiwa kuwepo kwenye utumishi wa umma kabisa. ni mdini wa wazi sawa na yule wa NSSF aliyejenga msikiti ofisini kwenye institution ya nchi isiyo na dini, mbona hakujenga kanisa? watu extremists kama hawa hawafai ktk nchi hii. mwambieni apunguze hasira, na asijione kama anawezaaaa, hajui vitu vingi tu inavyoonyesha na hana faida kwa Taifa.
 
Hili jina la Ndumaro linafanana na Ngumbaro, etii?!
 
Yeuuuuwi!!! Kwa hiyo director tafsiri yake ni "mmiliki"???!! aisee Assad kwenye ile 60 ongeza 30 kabisa!!! Na owner atakuwa nani? Na CEO aitwe nani? Sasa unapokuta kampuni ina Technical director,managing director,na chief executive officer utasema hiyo kampuni ina wamiliki wangapi? Bure kabisa
Shule hukwenda huwezi kuelewa.

Wewe umekalili mmiliki anaitwa owner, je, shareholder ni mtu wa aina gani?

Kwa hiyo board of directors wewe unajua ni muunganiko wa director of operation, managing director, director of finance, director of Human resources na ma director wote, sio? Akili huna

Soma hapa uongeze maarifa. Usipende kubisha bisha kitu hukijui ni dalili za utaahira.

Utakufa mdomo waz kwa chuk zake we mfuasi wa mwendazake
Binafsi nilimwona Assad ndio hana uwezo, hata kiingereza chake hakina hadhi ya kiprofesa kama yeye, ana ze ze zee kibao, tenses anachanganya, halafu ana hasira sana, very extremist, ASSAD ni imojawapo ya watu ambao hawakutakiwa kuwepo kwenye utumishi wa umma kabisa. ni mdini wa wazi sawa na yule wa NSSF aliyejenga msikiti ofisini kwenye institution ya nchi isiyo na dini, mbona hakujenga kanisa? watu extremists kama hawa hawafai ktk nchi hii. mwambieni apunguze hasira, na asijione kama anawezaaaa, hajui vitu vingi tu inavyoonyesha na hana faida kwa Taifa.
 
Tuhuma ni mawazo yake na hisia zake!sio elimu yake Wala akili yake!!!Hata wewe ndumbaro umeongea kwa hisia zako na sio akili yako Wala elimu yako.

Wewe ndio wa kupuuzwa, kwakua ni mmoja Kati ya hao 50-60%,ungekua na sifa zonatitakiwa usingejibu maneno ya kejeli,Assad amekuzidi elimu Sana.
 
Dar es Salaam. Katibu mkuu ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Dk Laurean Ndumbaro amewataka Watanzania kumpuuza aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad kwa kutoa tuhuma kuwa maofisa na viongozi katika taasisi za umma wana uwezo mdogo wa utendaji.

Dk Ndumbaro ametoa wito huo kwa Watanzania leo Alhamisi Aprili 15, 2021 kupitia vyombo vya habari, akimponda Profesa Assad ambaye hivi karibuni katika mdahalo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro (MUM), alidai asilimia 60 ya watumishi na viongozi wa umma nchini hawana uwezo wa kutekeleza majukumu yao na asilimia 40 wana uwezo kidogo.

Akifafanua kuhusu uwezo wa utendaji walionao watumishi, Dk Ndumbaro amesema tuhuma alizozitoa Profesa Assad zilijikita katika hisia na maoni yake binafsi kuliko uwezo wa kiakili na kitaaluma alionao na wala hakufanya tafiti.

Amesema watumishi na viongozi wanatekeleza majukumu yao vizuri na ndio maana nchi imepata maendeleo makubwa katika sekta za elimu, miundombinu pamoja na afya na hatimaye Taifa limeingia katika uchumi wa kati.

Amefafanua kuwa watumishi watendaji na viongozi wa umma hupanda au kuteuliwa kuwa viongozi katika utumishi wa umma kwa mujibu wa miongozo ya utumishi wa umma ambayo pamoja na mambo mengine huzingatia sifa mbalimbali za weledi na vigezo vya majukumu wanayopaswa kuyatekeleza.

Ametoa mfano wa namna Serikali inavyohakikisha inakuwa na rasilimali watu yenye sifa stahiki kwa kuzingatia ipasavyo sera ya menejimenti na ajira katika utumishi wa umma kifungu namba 4.3 (ii) ambayo imebainisha kuwa, vigezo vya uteuzi katika utumishi wa umma vizingatie uwiano kati ya taaluma na ujuzi wa kazi pamoja na sifa nyingine kama uzoefu kazini, rekodi kazini na uwezo wa kujifunza.

Dk Ndumbaro ameuthibitishia umma kuwa, watumishi wana uwezo kiutendaji kwani wanapoteuliwa kwa mara ya kwanza kushika nafasi za uongozi katika taasisi za Serikali, hupatiwa mafunzo elekezi ya utawala na uongozi ndani ya kipindi cha miezi mitatu hivyo kuondoa uwezekano wa kuwa na viongozi wasiokuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma > Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo
Wakupuuzwa hapa si Prof Assad bali ni Mwl Nyerere. Kwa sababu Mwl Nyerere alitoa muongozo ili Nchi iendelee inahitaji nini. Wote mnakumbuka! Au tukumbushane! Mi nitasema mawili tu kati ya manne..... 1)Watu.........2)Uongozi bora. Mpaka sasa bado hatujaendele, inamaanisha uongozi si bora kwa miaka yote hii. Na uongozi usio bora hupatikana kwa viongozi wasio bora........... Haya ni kutokana na nyerere.

Sasa hapa Prof Assad amekosea wapi? Ni kweli 60% ya viongozi ni Mizigo. Haya tena si maneno yangu bali ni maneno ya aliyekuwa katibu wa CCM, A. Kinana. Sijakwambia ya tujivue gamba. Yote haya ni majibu ya tamko la Prof Assad.

Prof Assad Funguka: Usipomuelewa Prof ni kawaida kwani maProf wanaufahamu wa mbali sanaa.
 
Anatafuta kiki gani asiyonayo? Wewe ndiyo ujitahidi kutafuta kiki ili angalau balozi wa mtaa wako ajue kuwa kuna kiumbe kinaishi kwenye eneo lake
Sasa kama ana kila kitu anahangaishwa na nini? Je wewe ni huyo Assad uliyejificha nyuma ya Caput Tamar au amekutuma? Kama angewa msomi na dume kweli basi angesema haya kabla ya kifo cha Magufuli. Hata serikali ya huyu anayetaka kujikomba kwake imesema wazi tumpuuze. What is left of the kicking ass? Tuondolee upuuzi wenu hapa. Si agombee huo urais aone kama ni lelemama hata lelebaba.
 
Dar es Salaam. Katibu mkuu ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Dk Laurean Ndumbaro amewataka Watanzania kumpuuza aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad kwa kutoa tuhuma kuwa maofisa na viongozi katika taasisi za umma wana uwezo mdogo wa utendaji.

Dk Ndumbaro ametoa wito huo kwa Watanzania leo Alhamisi Aprili 15, 2021 kupitia vyombo vya habari, akimponda Profesa Assad ambaye hivi karibuni katika mdahalo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro (MUM), alidai asilimia 60 ya watumishi na viongozi wa umma nchini hawana uwezo wa kutekeleza majukumu yao na asilimia 40 wana uwezo kidogo.

Akifafanua kuhusu uwezo wa utendaji walionao watumishi, Dk Ndumbaro amesema tuhuma alizozitoa Profesa Assad zilijikita katika hisia na maoni yake binafsi kuliko uwezo wa kiakili na kitaaluma alionao na wala hakufanya tafiti.

Amesema watumishi na viongozi wanatekeleza majukumu yao vizuri na ndio maana nchi imepata maendeleo makubwa katika sekta za elimu, miundombinu pamoja na afya na hatimaye Taifa limeingia katika uchumi wa kati.

Amefafanua kuwa watumishi watendaji na viongozi wa umma hupanda au kuteuliwa kuwa viongozi katika utumishi wa umma kwa mujibu wa miongozo ya utumishi wa umma ambayo pamoja na mambo mengine huzingatia sifa mbalimbali za weledi na vigezo vya majukumu wanayopaswa kuyatekeleza.

Ametoa mfano wa namna Serikali inavyohakikisha inakuwa na rasilimali watu yenye sifa stahiki kwa kuzingatia ipasavyo sera ya menejimenti na ajira katika utumishi wa umma kifungu namba 4.3 (ii) ambayo imebainisha kuwa, vigezo vya uteuzi katika utumishi wa umma vizingatie uwiano kati ya taaluma na ujuzi wa kazi pamoja na sifa nyingine kama uzoefu kazini, rekodi kazini na uwezo wa kujifunza.

Dk Ndumbaro ameuthibitishia umma kuwa, watumishi wana uwezo kiutendaji kwani wanapoteuliwa kwa mara ya kwanza kushika nafasi za uongozi katika taasisi za Serikali, hupatiwa mafunzo elekezi ya utawala na uongozi ndani ya kipindi cha miezi mitatu hivyo kuondoa uwezekano wa kuwa na viongozi wasiokuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma > Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo
Kauli yake inadhihirisha kama yeye ni miongoni mwa hiyo 60%. Watanzania sio wendawazimu wana uwezo wa kupima kinachoelezwa na Prof.Assad. Katu hawategemei maelekezo ya mtu ambae ni defensive anapokosolewa!

Nawashauri watanzania kuanza utamaduni wa kujifundisha kukabiliana na criticism. Mtu kama Prof.Assad au yoyote yule anapokosoa, tunatarajia serekali na watu kusikiliza na kufanyia kazi kasoro au matatizo yanayojadiliwa (ndio afya ya maendeleo). Sio vijembe na mambo ya kitoto, hii haina faida na haitufikishi mahali kokote kimaendeleo.

Suala la uwezo wa mtu anapoajiriwa ni la kisayansi na linaweza kupimwa au kufanyiwa testing. Sasa serekali ituelezee kama inapima waajiriwa wake wote na kuhakikisha wanapasi capaticity tests ????
 
Fantastic point,be blessed.
 
Back
Top Bottom