Nimeshangaa sana Assad kudharau watumishi wa umma kiasi hicho cha kusema 60% or more hawana uwezo.
Assad alikua mjumbe wa bodi ya NSSF, tena alikua mwenyekiti wa audit committee lakini kila mtu anajua NSSF ina hali gani na hata juzi Rais amesema NSSF ina hali mbaya inaelekea kufa kifo cha mende.
NSSF ndio ilikua inaongoza kwa ujinga, miradi ya hovyo, miradi isiyoqeza kurudisha gharama za uwekezaji na mambo kama hayo, yeye alikua mmoja wa wamiliki(director) aliisaidia nini NSSF zaidi ya kujigawia nyumba walizojenga bila kufuata utaratibu wa tendering huku akiwa na mgongano wa kimaslahi.
Assad alikua mmiliki(board chairman/director) wa NBC. Kipindi cha utawala wake ama umiliki wake yeye bank ilielekea kufa, ilikua very close ifilisike ama ifungwe.
Mbona hatukuona hiyo competence yake ama mbona hakutuonyesha jinsi yeye alivyo brainy saana.
Ukiacha ualimu wa chuo kikuu na u CAG, Assad amekua mkurugenzi/director wa taasisi nyingi sana, signature yake ni nini kwenye hizo taasisi ili kweli tujue yeye ni brainy sana.
Assad ni wa kupuuzwa.
Babu umechanganya characters [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uyo unayejaribu kumuongelea hapo ni Dr mwingine kabisa
CV ya Sheikh Assad hii hapa haina hata NSSF (kule ana mafao tu)
View attachment CV-Mussa-Assad.pdf
Source: https://www.thinkglobal.site/wp-content/uploads/2020/01/CV-Mussa-Assad.pdf