Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Majina ya kwenye cheti yapo matatu ila la Kati ni initial
Basi jaza kama ilivyo kwenye cheti kama yako sawa tutapata verification msg kwenye screen la simu yako au computer kwamba successfully added
 
Kwa tunao boresha taarifa upande wa arts mbona shule hazioneshi kama ni msingi au secondary? Na masomo tuliyoomba mwaka jana mengine hayapo katika machaguo
 
TAMISEMI AWAPOKEI SIMU YANI HATA KIDOGO WAMETUWEKEA KAMA MAPAMBO JAMANI UKU TUNA SHIDA SANA KWENYE MFUMO OTEAS
 
Ni sehemu gani ndo unaweka majina ya wadhamini na namba zao za simu?na nimeona wanataka CV nayo unaiweka wapi
 
Weka yaliyoko kwenye cheti,mi mwanzo nlikua na matatu kwa mfumo ule wa mwanzo kipindi cha marehemu jiwe,ila jana ikabidi nifuate vile mfumo unavyotaka kwa kujaza majina yaliyoko kwenye cheti,so nikaweka mawili
Hivi inakubali kweli kubadili majina, maana Kuna mtu alitaka a-edit jina la Kati ikazngua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…