GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
changamoto aise, nimetumia account ya zamani kuingia nikakuta kwenye masomo ya kufundisha inasom 150%. Nikasema nifute then niadd upya, kila nikirudi kuchagua somo halipo tena. Somo ni Mathematics
Somo la Mathematics kama umetoa kwa bahati mbaya sidhani kama utalikuta tena sijui mfumo wao hauko vizuri, na hata ukijaribu kuweka masomo mawili kuna baadhi yanakataa kukaa mawili.
Huuu mfumo ni mpya kwani??? Mbona nahisi kama kuna bugs nyingi sanaNi shida aise sijui watashughulikia hilo tatizo, na kwenye shule za kujitolea nazo hazipo
Mi nimesaidia watu watano mpaka sasa shda tu ni kwangu somo la kufundisha halitokei baada ya kuliondoa
Kuna watu wanataka kufwa kwa presha