Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

changamoto aise, nimetumia account ya zamani kuingia nikakuta kwenye masomo ya kufundisha inasom 150%. Nikasema nifute then niadd upya, kila nikirudi kuchagua somo halipo tena. Somo ni Mathematics

Somo la Mathematics kama umetoa kwa bahati mbaya sidhani kama utalikuta tena sijui mfumo wao hauko vizuri, na hata ukijaribu kuweka masomo mawili kuna baadhi yanakataa kukaa mawili.

Ni shida aise sijui watashughulikia hilo tatizo, na kwenye shule za kujitolea nazo hazipo

Mi nimesaidia watu watano mpaka sasa shda tu ni kwangu somo la kufundisha halitokei baada ya kuliondoa
Huuu mfumo ni mpya kwani??? Mbona nahisi kama kuna bugs nyingi sana

Kuna watu wanataka kufwa kwa presha
 
Tatizo la ku-attach cheti cha chuo na transcript ambao waliondoa natatua kwa 1000
 
TUMEWAPA DAKIKA MBILI TUU ZA KUJAZA ZAIDI YA HAPO LAZIMA MFUMO USUMBUE,NI STYLE NYNGINE YA KUWAPUNGUZA MPO WENGI SANA

We jamaa kwel n big IQ aisee kwel ndan ya mda mchache imezngua tena had sahv haikubal [emoji1][emoji1]
 
Weka jina jinsi linavyosomeka kwenye vyeti(form 4/6)

Kama jina lako lina majina mawili, sehemu ya jina la kati haujazi kitu

Kama jina lina majina matatu, jaza sehemu zote(jina la kwanza, kati na mwisho).

Mfumo utascan namba yako ya mtihani(kama ni form 4 au 6) halafu utadisplay jina lako kamili, jina la shule pamoja na namba ya mtihani. Hadi hapo utahakiki kama vipo sawa na kuendelea mbele

Imekubali mkuu shukran
 
KUNA MTU AMEKUTANA NA SHIDA YA KUATTACH VYETI KTK SEKTA YA AFYA? MAANA PANABAKI VIVULI TU.
Opera Snapshot_2021-05-12_070710_ajira.tamisemi.go.tz.png
Opera Snapshot_2021-05-12_070710_ajira.tamisemi.go.tz.png
 
Back
Top Bottom