Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Msaada aitaki kuchagua masomo

IMG_20210511_140721_206.jpg
 
Wakuu kwenye anuani ya tamisemi tunaweka na hii no 41118 DODOMA?
Kwakuwa ni online barua haiwezi kupotea labda ingekuwa kutuma maombi kwa njia ya posta ndio ungeweka hizo posti kodi ili kusaidia barua ifike kunako husika bila kupotea
 
msaada sion sehemu ya user mpya kwenye panel yangu ikoje kwa mtumiaji wa kwanza

Kwenye yale maelezo kuna sehemu wameandika
Maneno Bofya hapa yako nadhan sjui namba ngap pale,ukibonyeza tu hapo inakuletea usajil mpya
 
Back
Top Bottom