Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Mbona kama wanatakiwa walimu wa sayansi tu sekondari
 
Uzoefu wangu ni kwamba network huwa inasumbua so inahitaji uvumilivu wa chuma na ikiwezekana usislale tegea mida ya wanga utume,ngoja nijaribu bahati yangu tena ,baada ya ile kipindi cha marehemu jiwe kuwa ndivyo sivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…