Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Above all,

Unaombwa uzoefu wa kufundisha,na unao kwelikweli.

Unaulizwa ulifundisha shule gani na hauna pa kuzipata isipokuwa Kuna shule tayari wameziorodhesha.
Kwa bahati mbaya hizo shule ni chache tu katika halmashauri.
Which means hizo ndizo shule ambapo walimu fulani walikuwa wanajitolea.

Kingine hata ukiiona shule uliyowahi kujitolea,unaombwa barua ya kuruhusiwa kufundisha.
Which means kuna walimu wameshapewa na barua za kuruhusiwa kufundisha.

Mimi na wewe tunapoteza muda tu.

Yaani janja-janja tu.

Bora kumbe na Marehemu yeye alikuwa wazi tu.

R.I.P JPM.
 
We jamaa unalalamika sana aisee sijui unataka serikali ikufanyie nini sasa

Hakuna ulazima wa wewe kuingiza taarifa za kufundisha kama hujawahi kufundisha na zipo options zote kama hujawahi kufundisha/ kujitolea unaachana na kipengere hicho unaendelea na taarifa zingine mbona ipo wazi tu hiyo?

Hizo barua za kufundisha ni barua ambazo unathibitishwa na mkuu wako wa kituo ulicho kuwa ukijitolea/ukifundisha na ikowezekana ofisa elimu kata waipitishe kuthibitisha huko kujitolea kwako

sasa sijui unalalama unatakaje, ? Sasa wewe utasema ulifundisha sawa kielelezo kwamba ulifindisha ni kipi? We hutaki kiulizwe? Watajiridhishaje kwamba usha wahi fundisha au wataota kwenye ndoto?

Na ukiona shule haipo kwenye list maana yake haipo kwenye orodha ya shule zenye uhitaji wa walimu sasa ulitaka waiweke ya nini?

We kama una aina yako ya ajira unayo itaka uletewe basi acha kuomba wenye shida wataomba hizi zilizopo. Usije kupotosha watu hapa kwa jambo ambalo linatokana na uelewa wako kuwa mdogo

Yaan hapo unastress za kuto ajiliwa halafu unajiongezea misononeko iso na tija.
 
Yule jamaa alielazwa pale chota ndio muasisi wa huu ushenzi wote, yeye ndo ametufikisha hku tulikuwa hatujawahi kushuhudia haya maisha ya kihuni huni hvi.
 
Above all,

Unaombwa uzoefu wa kufundisha,na unao kwelikweli.

Unaulizwa ulifundisha shule gani na hauna pa kuzipata isipokuwa Kuna shule tayari wameziorodhesha.
Kwa bahati mbaya hizo shule ni chache tu katika halmashauri.
Which means hizo ndizo shule ambapo walimu fulani walikuwa wanajitolea.

Kingine hata ukiiona shule uliyowahi kujitolea,unaombwa barua ya kuruhusiwa kufundisha.
Which means kuna walimu wameshapewa na barua za kuruhusiwa kufundisha.

Mimi na wewe tunapoteza muda tu.

Yaani janja-janja tu.

Bora kumbe na Marehemu yeye alikuwa wazi tu.

R.I.P JPM.
Huyo magufuli si ndo alizuia ajira kwa miaka zaidi ya mitano? Au una frastreni zako?
 
Nikiangalia mahitaji ya walimu na hizo nafasi za ajira zinazotangazwa naona ujinga tu, kesho kutwa utasikia tena shule fulani kuna upungufu wa walimu.
 
We jamaa unalalamika sana aisee sijui unataka serikali ikufanyie nini sasa

Hakuna ulazima wa wewe kuingiza taarifa za kufundisha kama hujawahi kufundisha na zipo options zote kama hujawahi kufundisha/ kujitolea unaachana na kipengere hicho unaendelea na taarifa zingine mbona ipo wazi tu hiyo?

Hizo barua za kufundisha ni barua ambazo unathibitishwa na mkuu wako wa kituo ulicho kuwa ukijitolea/ukifundisha na ikowezekana ofisa elimu kata waipitishe kuthibitisha huko kujitolea kwako

sasa sijui unalalama unatakaje, ? Sasa wewe utasema ulifundisha sawa kielelezo kwamba ulifindisha ni kipi? We hutaki kiulizwe? Watajiridhishaje kwamba usha wahi fundisha au wataota kwenye ndoto?

Na ukiona shule haipo kwenye list maana yake haipo kwenye orodha ya shule zenye uhitaji wa walimu sasa ulitaka waiweke ya nini?

We kama una aina yako ya ajira unayo itaka uletewe basi acha kuomba wenye shida wataomba hizi zilizopo. Usije kupotosha watu hapa kwa jambo ambalo linatokana na uelewa wako kuwa mdogo

Yaan hapo unastress za kuto ajiliwa halafu unajiongezea misononeko iso na tija.
Hayo masharti yote mnaweka ya nini wakati shule nyingi hazina walimu?

Hayo masharti ni kweli yana malengo ya kupunguza idadi ya waombaji/watakaopata ajira, na zaidi mnataka watu wenu wapate kwanza, otherwise sioni maana muweke masharti mengi wakati bado kuna upungufu mkubwa wa walimu.

Mwalimu akishatoka chuo anafaa kufundisha, vinginevyo kama hamuamini uwezo wa wahitimu futeni hivyo vyuo mtafute njia yenu ya kupata walimu wenye sifa.
 
Kavurugwa na maisha uyo
 
Hakuna ajira zinazo toka bila criteria.na huwezi kuajiri hovyo bila utaratibu wala vipaombele eti kisa tu kwa vile kuna uhaba wa walimu
 
Hayo masharti yote mnaweka ya nini wakati shule nyingi hazina walimu?

Hayo masharti ni kweli yana malengo ya kupunguza idadi ya waombaji/watakaopata ajira, na zaidi mnataka watu wenu wapate kwanza, otherwise sioni maana muweke masharti mengi wakati bado kuna upungufu mkubwa wa walimu.

Mwalimu akishatoka chuo anafaa kufundisha, vinginevyo kama hamuamini uwezo wa wahitimu futeni hivyo vyuo mtafute njia yenu ya kupata walimu wenye sifa.
Kunywa maji mkuu
 
Nikiangalia mahitaji ya walimu na hizo nafasi za ajira zinazotangazwa naona ujinga tu, kesho kutwa utasikia tena shule fulani kuna upungufu wa walimu.
Umesha ambiwa hizo ni za kuziba mapengo ya watumishi kutokana na watumishi walio kufa , staafu, kuacha kazi na sio ajira za kuziba uhaba wa walimu muwe mnaelewa.
 
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema serikali imetangaza nafasi 6949 za ajira ya walimu wa msingi na sekondari.

Waziri Ummy amewataka wale wenye sifa kuacha tabia ya kufungia vyeti makabatini bali watoke na kuchangamkia fursa ya ajira hizi lukuki.

Source ITV habari!
 
Tatizo wote Wanasifa yaan hapo kuna mwanya mkubwa Sana wa rushwa , Labda wangeajiri mwaka Kwa mwaka au miaka miwili miwili ....!! Watu zaidi ya laki ajira 6000+🙄 .....kazi ipo , Jiwe alitengeneza tatizo kubwa Sana
 
Alie fanikisha kujisajili afya jmn, nimekwama kipengele cha NACTE / EQUIVALENT, quote hapa
 
Back
Top Bottom