Km unatumia cheti cha form four weka NECTA ,Sema ukifka kwenye kipengele cha kuhakiki ndoshida inakua hapo wanasema taarifa sio sahihi.Alie fanikisha kujisajili afya jmn, nimekwama kipengele cha NACTE / EQUIVALENT, quote hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km unatumia cheti cha form four weka NECTA ,Sema ukifka kwenye kipengele cha kuhakiki ndoshida inakua hapo wanasema taarifa sio sahihi.Alie fanikisha kujisajili afya jmn, nimekwama kipengele cha NACTE / EQUIVALENT, quote hapa
Na tunafanyeje ili iwe sahihi, maana inajirudisha nyumaKm unatumia cheti cha form four weka NECTA ,Sema ukifka kwenye kipengele cha kuhakiki ndoshida inakua hapo wanasema taarifa sio sahihi.
Endelea kujitekenya mwenywe na kucheka.Hakuna Rais atasahaulika haraka vichwani mwa Watanzania kama Mzee wa chattle
Nafikiri kwakua Leo ni wikiend hebu tujaribu kesho....tuone maana ni tatzo.Na tunafanyeje ili iwe sahihi, maana inajirudisha nyuma
Kwa wale wa afya hapo shida nn make nakwamia hapo kukamilisha usajili kwenye icon ya HifadhiAlie fanikisha kujisajili afya jmn, nimekwama kipengele cha NACTE / EQUIVALENT, quote hapa
Unafiki huukuacha tabia ya kufungia vyeti makabatini bali watoke na kuchangamkia fursa ya ajira hizi lukuki.
Bwashee vuteni subra mambo mazuri yanakuja!Bwashee sisi wa kada nyingine lini wanatumwagia neema?
Au sindio bwashee.Bwashee vuteni subra mambo mazuri yanakuja!
I wish na mimi jamani 😬😬😬Bwashee sisi wa kada nyingine lini wanatumwagia neema?
Barua ya nini tena kwani kuna kipengere hikoJmn naomben mnisaidie S.L.P ya katibu tamisemi ni ipi,ili niandike barua
Jibu rahisi niSwala nililoliona kuna mnganganyiko mkubwa sana wakimasomo ndani ya nchi yetu .
Kuna makundi haya
1) masomo ya science hapa kuna biology , physics mathematics, engeenering physics e.t.c
- lakini ndani ya kundi hili tuna somo la kilimo ambalo pia kwa jicho lingine watu huliita pia la science
2) Masomo ya biashara . hapa kuna commerce, bookeeping , accounts economics ( haya mawili yapo kuanzia level ya advance kwenda juu chuo nakuendelea) . hivyo shule zinazofundisha haya ni chache na kupelekea wanajamii na hata wadau wengi wa elimu kutoyatambua , na wengine huyaona kama masomo ya arts tu.
3 ) masomo ya arts hapa kiswahili language , history jographia e.tc haya yanafundishwa katika shule nyingi hivyo na masomo yenye umaarufu kwa wanajamii na hata wadau mbali mbali wa elimu .
Sasa basi mkanganyiko huja hapa.
ajira nyingi zinapotolewa , huwa na kigezo hichi .
- walimu wa arts huambiwa waombe shule za msingi na walimu wa science secondary . vizuri lakini wanaposema walimu wa arts hapa hujumuisha ndani na lile kundi la pili la walimu wa biashara ambao wengi masomo yao hayapo katika ngazi ya o - level hivyo hata ndani ya mfumo huwa yawekwi vile vile . nakupelekea wengi washindwe kuomba au hata wakiomba waombe kwa kutumia somo moja.
Mfano
Mwalimu ambaye teaching subjects zake ni comerce na bookeeping akiingia kwenye huu mfumo unakuta masomo yake hayapo . hivyo anashindwa kuomba
Au
Mwalimu ambaye teaching subjects zake ni Economics na Geography akiingia kwenye mfumo atalazimika kuombea Geography na moja kwa moja anajikuta analazimika kuombea somo moja la geography ambalo lina wadau wengi na kujikuta kaingia katika ushindani mkubwa . wakatika kama somo lake la uchumi pia lingekuwepo lingemsaidia akaombea yote mawili pengine ingeongeza nguvu akapata nafasi .
Mwalimu ambaye teaching subjects zake ni Economics na Account huyu ikiingia kwenye mfumo basi moja kwa moja mfumo unamuondoa kwasababu masomo tajwa hapo juu hayapo kwenye mfumo kabisaa.
Kwa namna fulani wadau wa elimu wanaohusika ni kama wameyashau baadhi ya masomo hivi ( ingawa sijui kama nipo sahihi nikisema hivi ni mawazo yangu tu )