Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Sema km kuna ushahidi tamisemi wanataka certified certificate bhas hayo majibu kwenye comments screenshot halafo nasi tujiridhishe.
 
A

cha uongo nenda youtu.be account ya tamisemi waliongea mambo ya vyeti. wakasema vyeti siyo lazima viwe certified kikubwa vionekane vizuriii basi. usidanganye watu punguza mihemuko
Halafu hivi vitu vingi vipo kwenye system hasa kwa wanafunzi wa kuanzia miaka ya 2008.

Ukitengeneza Account kwenye portal yao, ukiweka index number ya form 4 tayari majina yako yanakuja na details nyingine.
 
Vp mkuu ulifanikiwa kutatua hii shida.?? Mimi nimekwama hapo siku ya nne leo na deadline ndo hyo inagonga hodi
 
wadau tatizo nini kwenye kufanya machaguo ya sehemu unapopendelea kufanya kazi haileti machaguo yeyot,, msaada wenu tafadhali.
 
Wadau naomba msaada Kwa waliofanikiwa kumaliza application za wizara ya afya nimejaza taarifa zote muhimu lakn wananiambia upload all required documents nimeongea na help desk ni wahuni tu eti network yako ndombovu wanakata simu eti wapo kwenye kikao siku nzima.
 
Weka docx zote zinazohitajika, isipokuwa zile za optional tu au za kuverify vyeti kutoka NECTA/NACTE/TCU.

Ukimaliza hapo watakuruhusu na hatua ya mwisho ya application.

NB: Zingatia uwepo wa network imara
 
Umekosea nini mkuu
Nimejisajili mara ya pili baada ya kusahau nywila za account ya zamani na nimejaribu sana kuzibadilisha ikashindikana, sasa hii account mpya nikiingiza vyeti inasema index number already exists. Nataka nifute acc moja ili nipambane na ile ya awali.
 
Huwezi futa account manake tayari ipo kwenye system labda administrators wa TAMISEMI ndo waifute,imeshindikana kabisa kubadili nywila kwa akaunti yako ya zamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwa aliyekwisha tuma maombi kada ya afya naomba unitumie sample niicharange saiv ili kesho asubuh nitume .(natanguliza shukran )
 
Back
Top Bottom