Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Kuna mtu ana Bachelor of arts with education ndivyo cheti chake kimeandikwa hvy, ila amebobea kwenye History and English ambayo naona kwenye system haipo.
Hapo namsaidia vp?
 
Kuna mtu ana Bachelor of arts with education ndivyo cheti chake kimeandikwa hvy, ila amebobea kwenye History and English ambayo naona kwenye system haipo.
Hapo namsaidia vp?
the same case wa kwangu amebobea kwenye Kiingereza na kiswahili system inagoma
 
Kuna mtu ana Bachelor of arts with education ndivyo cheti chake kimeandikwa hvy, ila amebobea kwenye History and English ambayo naona kwenye system haipo.
Hapo namsaidia vp?
soma hapa
 
Kama nimesoma BED ADEC au PPM ambapo masomo yangu ya kufundishia Geography na HISTORY nafanyaje.
 
Hawafanyi siku moja mkuu saili zikianza zinaendeshwa wiki 1 mpaka 2 kumbuka saili zitafanyika kwa siku moja na muda mmoja kwa walimu wa somo moja mfano kiswahili tarehe 1 saa moja asubhuhi,somo lingine saa 4 ,math tarehe 2 n.k nadhani umeelewa
 
Ungekuwa unapatia wasingeweka kosa maana huo mfumo ume link na database ya NIDA
 
Ndio IIIA hao mkuu.
IIIB- Diploma
IIIC- Bachelor
Nashangaa sana account yangu ni geographia lakini nikiingia kuomba inakataa inanipeleka kwenye kilimo ndio inakubali alafu kwenye Kiswahili inaniambia already applied. Hahaha ngoja niachane nazo kichwa kinauma.nimesoma arts programme name nimejaza inayosoma kwenye certificate lakini bado wanakataa mawaachia kazi zao
 
Ukisusa wenzao wala😀 hii pia ni chujio namba moja
 
Wakuu majina kwenye vyetu vya taaluma Ni mawili ila kwenye NIDA ambayo nimetumia kufungua account ajira portal Ni matatu...hapa hii changamoto inakauje ,Kwa aliyekutana nayo akabahatika kuitwa kwenye hata usaili huko ajira portal huwa wanachukua majina yapi matatu au mawili tu ?
 
Hilo hakuna tatizo mkuu,wengi tuko hivyo vyeti vyetu viko na majina mawili ila NIDA matatu na account yako itasoma majina matatu ya kwenye NIDA
 
Zingatieni wakati wa INTERVIEW lazima uwe na ID Inayofanana majina na kwenye vyeti vyako iwe cha NIDA,KURA,N.K
 
Hilo hakuna tatizo mkuu,wengi tuko hivyo vyeti vyetu viko na majina mawili ila NIDA matatu na account yako itasoma majina matatu ya kwenye NIDA
Mkuu nimesoma bachelor of education in adult education and community development. Nilipoomba ikawa inakataa kwamba Job application failed. Nikasoma comment za wana JF humu nikabadilisha bachelor of education in Geography and History nikajaribu kuomba ikakubali na kweli nimesoma masomo hayo,sasa hapa nikiomba haitaleta utata kweli au niombe tu watachagua wao
 
Hivi unafikri walimu waliopo mtaani ni wachache? Yaani interview ya somo moja uwafanyie siku moja? Mfano walimu walisomea Kiswahili wapo 50000 utawafanyia interview siku 1, wafanye written, practical na oral kwa siku moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…