Hao hao waliobebwa kama mapapai ndo wamekufikisha hapo ulipo mpaka unaweza kuandika hivyo, ndo hao hao wanatoa madaktari,maengineer na hata walimu wengine piaBora waalimu wapimwe.
Nilikuwa nashangaa sana walivyokuwa wanawabebelea tu kama mapapai.
Graduated 13 years ago pole mkuuNAULIZA.!!
Nimesoma diploma ya ualimu wa sekondari-2011. Nikiingia ajira portal ktk acadwmic qualification...chuo hakipo kwenye orodha pale. Je ni sahihi niki click "OTHER" then niandike jina la hiko chuo manually?
2. Pale chini inadai niweke GPA, nimeshindwa kuelewa niweke nn..maana nina cheti tu cha NECTA kikiwa na matokeo ya jumla...hakuna GPA, Au diploma yangu ni outdated...za sasa zina GPA?
3. CV nayo inasainiwa pale chini?
Watumie email ict@ajira. go.tz waambie wakukumbushe username na password mpya maana ulishafungua acc tayariWakuu nikibofya personal details nikiandika nida yangu wananiandikia hivi nifanyeje
HII NIDA ishatumika,mara nyingi inatumika mara moja,utakuwa ulifungua akaunti ukasahu au kuna mtu kaitumia kufungua akaunt ajiraportalWakuu nikibofya personal details nikiandika nida yangu wananiandikia hivi nifanyeje
Kwaiyo nifanyeje apoHII NIDA ishatumika,mara nyingi inatumika mara moja,utakuwa ulifungua akaunti ukasahu au kuna mtu kaitumia kufungua akaunt ajiraportal
Upo ndugu kwasab zimepitia utumishiHakuna usaili nadhani
Hakuna usaili nadhani
Usaili upo 100%Upo ndugu kwasab zimepitia utumishi
Kada zingine Zina watu wachache, afya na elimu ni balaa zaidi ya watu laki 3 hizo computer zitatosha? Network yenyewe bongo ni kizungumkuti.Mbona huwa inafanywa kila lep hivyo hivyo na kwa sasa mnafanya kwa computer
Naona Una furahi sana watu kupigwa interview....kwa nini hukusoma afya au ualimu uwe miongoni?Mmh! Wanaitwa mkuu kikubwa utimize vigezo vyao mkuu, mara ya mwisho kuona hiyo ni za mwaka jana 2023 zile za MDA na LGA watu waliitwa kukandwa mara 2 wengine zilikutanishwa kwa mda mmoja wengine walibahatika mda tofauti na siku tofauti wakaingia kwenye mikando vizuri tu
Hizo computers za kumudu watu wote hao zitatoka wapi kila mkoa? Mfano kila mkoa kuwepo na walimu 10000 watafanya mitihani wote kwa siku moja?Sio kwamba saili zote 3 zinafanyika kwa siku 1...Mkishafanya written wanatoa matokeo wale waliofaulu watafanya practical siku nyingine watatoa tena matokeo watakaofaulu watafanya oral siku nyingine tena then mnasubiri kuitwa kazini sasa
ndugu mwalimu aya maswali tushayajibu mara nyingi sanaπππ usaili haufanyiki siku moja kwa walimu wa masomo yote ndugu mwalimu,watafanya tarehe tofauti tofahti watapangwa kulingana na somo analoenda fundisha na ngazi zao za elimu,watapishana siku na muda piaHizo computers za kumudu watu wote hao zitatoka wapi kila mkoa? Mfano kila mkoa kuwepo na walimu 10000 watafanya mitihani wote kwa siku moja?
Kwahiyo unakubaliana na mimi mchakato utachukua muda mrefu?ndugu mwalimu aya maswali tushayajibu mara nyingi sanaπππ usaili haufanyiki siku moja kwa walimu wa masomo yote ndugu mwalimu,watafanya tarehe tofauti tofahti watapangwa kulingana na somo analoenda fundisha na ngazi zao za elimu,watapishana siku na muda pia
Wapo watakaofanya siku moja ila muda tofauti but ni masomo tofauti pia
Kwamba Kuna upungufu wa walimu wenye Digrii wa kufundisha Fizikia na Maths TanzaniaJibu mbona lilo wazi inamaana kwamba upungufu ulikuwa mwingi kwenye walimu wa level ya degree kuliko hao unaowaongelea
NdiyoKwahiyo unakubaliana na mimi mchakato utachukua muda mrefu?
Sio kwamba kuandika barua hawawezi ,Ni maumivu ya kisaikolojia ya kuhusu labda unakosea barua baada ya kutuma maombi ya Kazi Zaidi ya Mara 100 Bila kupata ...sasa Ile hofu na kujiamin kunapotea unaanza kuwa unauliza hadi vitu vidogo ambavyo wengine wanakuona kama mjinga ....Hongereni sana wadau wa JF mnaojitolea kukaa online muda wote toka Tangazo la afya litoke na sasa ualimu kwa ajili ya kutoa shule ya bure kwa ndugu zetu wauguzi ( madakitari na manesi wauguzi kama walivowaimba wagosi wa kayaππ) lakini pia na ndugu zetu waalimu maana hali ilikuwa mbaya sana
Kwa kweli ni upendo wa hali ya juu sana na uendellee hivyo
Kwa kweli kuna watu hawajui ata kuandika barua , ni mtihani na ni graduate wa diploma/degree na anaenda kufundisha english au kiswahili ambako kuna topic ya kuandika barua hiyo hiyo anayouliza sasa unajiuliza mwanangu atafundishwa huyu kweliπππ
Anyway naamini ni kupanic tu ila wako vizuri maticha wetu taraijiwa π
Mitihani yao inakauje mkuu ,kama mwalimu WA hesabu wanauliza maswali ya kawaida(kisiasa ,kiuchumi na kijamii) au Wana base kwenye somo kabisa topic zilizomo kwenye somo ...mfano mathematics unaweza kutana na maswali ya integration,set , differentiation, , logarithmic,quadratic equations,algebra...πndugu mwalimu aya maswali tushayajibu mara nyingi sanaπππ usaili haufanyiki siku moja kwa walimu wa masomo yote ndugu mwalimu,watafanya tarehe tofauti tofahti watapangwa kulingana na somo analoenda fundisha na ngazi zao za elimu,watapishana siku na muda pia
Wapo watakaofanya siku moja ila muda tofauti but ni masomo tofauti pia
Nadhani wataleta maswali ya basic mathematics tu na yale simple simple kupima kumbukumbu zako mwalimu na si advanced math lakini pia mambo yanayohusu scheme of training pamoja na lesson plan na education psychology pamoja na vitu vingine vinavyohusiana na educationMitihani yao inakauje mkuu ,kama mwalimu WA hesabu wanauliza maswali ya kawaida(kisiasa ,kiuchumi na kijamii) au Wana base kwenye somo kabisa topic zilizomo kwenye somo ...mfano mathematics unaweza kutana na maswali ya integration,set , differentiation, , logarithmic,quadratic equations,algebra...π
Au uandae somo ufundishe n.k ...
Nchi ishakuwa ngumu tayari