Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

NAULIZA.!!
Nimesoma diploma ya ualimu wa sekondari-2011. Nikiingia ajira portal ktk acadwmic qualification...chuo hakipo kwenye orodha pale. Je ni sahihi niki click "OTHER" then niandike jina la hiko chuo manually?
2. Pale chini inadai niweke GPA, nimeshindwa kuelewa niweke nn..maana nina cheti tu cha NECTA kikiwa na matokeo ya jumla...hakuna GPA, Au diploma yangu ni outdated...za sasa zina GPA?
3. CV nayo inasainiwa pale chini?
Graduated 13 years ago pole mkuu
Naamini umepitia magumu,maaana diploma wa miaka hii wako kazini
1.Ndiyo chagua other weka jina la chuo
2.GPA huwa inaandikwa kwenye transcript na sio kwenye cheti,angalia transcript watakua wameandika kama ulipata daraja la point ipi then andika hiyo
Na lazima pia uweke hiyo transcript hapo ina sehemu yake au miaka yenu haikuwa na transcript?
3.unaweza kusaini ila si kwa umuhimu maamuzi ,
Kwanza mimi binafsi sijawahi kuattach cv tofauti na wasifu ninao jaza kwenye mfumo wa ajira portal na hakuna nafasi akbayo nimewahi omba na sikuitwa kisa kutoweka CV maana wao wamekurahisishia ujazo wasifu wako (cv) umo kwenye mfumo na wadhamini watatu pia unajaza umo umo
 
Wakuu nikibofya personal details nikiandika nida yangu wananiandikia hivi nifanyeje
 
Attachments

  • Screenshot_20240722-172157.png
    Screenshot_20240722-172157.png
    117.5 KB · Views: 13
Hongereni sana wadau wa JF mnaojitolea kukaa online muda wote toka Tangazo la afya litoke na sasa ualimu kwa ajili ya kutoa shule ya bure kwa ndugu zetu wauguzi ( madakitari na manesi wauguzi kama walivowaimba wagosi wa kaya😁😁) lakini pia na ndugu zetu waalimu maana hali ilikuwa mbaya sana
Kwa kweli ni upendo wa hali ya juu sana na uendellee hivyo
Kwa kweli kuna watu hawajui ata kuandika barua , ni mtihani na ni graduate wa diploma/degree na anaenda kufundisha english au kiswahili ambako kuna topic ya kuandika barua hiyo hiyo anayouliza sasa unajiuliza mwanangu atafundishwa huyu kweli😀😀😀
Anyway naamini ni kupanic tu ila wako vizuri maticha wetu taraijiwa 😁
 
Wakuu nikibofya personal details nikiandika nida yangu wananiandikia hivi nifanyeje
Watumie email ict@ajira. go.tz waambie wakukumbushe username na password mpya maana ulishafungua acc tayari

Usisahau kuweka namba ta nida
 
Wakuu nikibofya personal details nikiandika nida yangu wananiandikia hivi nifanyeje
HII NIDA ishatumika,mara nyingi inatumika mara moja,utakuwa ulifungua akaunti ukasahu au kuna mtu kaitumia kufungua akaunt ajiraportal
 
Mmh! Wanaitwa mkuu kikubwa utimize vigezo vyao mkuu, mara ya mwisho kuona hiyo ni za mwaka jana 2023 zile za MDA na LGA watu waliitwa kukandwa mara 2 wengine zilikutanishwa kwa mda mmoja wengine walibahatika mda tofauti na siku tofauti wakaingia kwenye mikando vizuri tu
Naona Una furahi sana watu kupigwa interview....kwa nini hukusoma afya au ualimu uwe miongoni?
 
Sio kwamba saili zote 3 zinafanyika kwa siku 1...Mkishafanya written wanatoa matokeo wale waliofaulu watafanya practical siku nyingine watatoa tena matokeo watakaofaulu watafanya oral siku nyingine tena then mnasubiri kuitwa kazini sasa
Hizo computers za kumudu watu wote hao zitatoka wapi kila mkoa? Mfano kila mkoa kuwepo na walimu 10000 watafanya mitihani wote kwa siku moja?
 
Hizo computers za kumudu watu wote hao zitatoka wapi kila mkoa? Mfano kila mkoa kuwepo na walimu 10000 watafanya mitihani wote kwa siku moja?
ndugu mwalimu aya maswali tushayajibu mara nyingi sana😁😁😁 usaili haufanyiki siku moja kwa walimu wa masomo yote ndugu mwalimu,watafanya tarehe tofauti tofahti watapangwa kulingana na somo analoenda fundisha na ngazi zao za elimu,watapishana siku na muda pia
Wapo watakaofanya siku moja ila muda tofauti but ni masomo tofauti pia
 
Kwahiyo unakubaliana na mimi mchakato utachukua muda mrefu?
 
Hongereni sana wadau wa JF mnaojitolea kukaa online muda wote toka Tangazo la afya litoke na sasa ualimu kwa ajili ya kutoa shule ya bure kwa ndugu zetu wauguzi ( madakitari na manesi wauguzi kama walivowaimba wagosi wa kaya😁😁) lakini pia na ndugu zetu waalimu maana hali ilikuwa mbaya sana
Kwa kweli ni upendo wa hali ya juu sana na uendellee hivyo
Kwa kweli kuna watu hawajui ata kuandika barua , ni mtihani na ni graduate wa diploma/degree na anaenda kufundisha english au kiswahili ambako kuna topic ya kuandika barua hiyo hiyo anayouliza sasa unajiuliza mwanangu atafundishwa huyu kweli😀😀😀
Anyway naamini ni kupanic tu ila wako vizuri maticha wetu taraijiwa 😁
Sio kwamba kuandika barua hawawezi ,Ni maumivu ya kisaikolojia ya kuhusu labda unakosea barua baada ya kutuma maombi ya Kazi Zaidi ya Mara 100 Bila kupata ...sasa Ile hofu na kujiamin kunapotea unaanza kuwa unauliza hadi vitu vidogo ambavyo wengine wanakuona kama mjinga ....

Hii Hali kama haijakukuta mkuu hongera Sana ,ila vijana msoto Ni mkali ...

Kijana WA kiume umri 22-28 kama huna support ya wazazi ndugu yangu unachanganyikiwa kabisa ...kipindi ambacho hata makopo unaweza kuokota na degree yako
 
ndugu mwalimu aya maswali tushayajibu mara nyingi sana😁😁😁 usaili haufanyiki siku moja kwa walimu wa masomo yote ndugu mwalimu,watafanya tarehe tofauti tofahti watapangwa kulingana na somo analoenda fundisha na ngazi zao za elimu,watapishana siku na muda pia
Wapo watakaofanya siku moja ila muda tofauti but ni masomo tofauti pia
Mitihani yao inakauje mkuu ,kama mwalimu WA hesabu wanauliza maswali ya kawaida(kisiasa ,kiuchumi na kijamii) au Wana base kwenye somo kabisa topic zilizomo kwenye somo ...mfano mathematics unaweza kutana na maswali ya integration,set , differentiation, , logarithmic,quadratic equations,algebra...😂

Au uandae somo ufundishe n.k ...

Nchi ishakuwa ngumu tayari
 
Nadhani wataleta maswali ya basic mathematics tu na yale simple simple kupima kumbukumbu zako mwalimu na si advanced math lakini pia mambo yanayohusu scheme of training pamoja na lesson plan na education psychology pamoja na vitu vingine vinavyohusiana na education
Kikubwa pia ujiandae kwa kufuata job description
 
Back
Top Bottom