Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Kwa hiyo kwenye vyeti hakuna madaraja kama distinction ,credit ,merit n.k? kama ilivo div 1 ya 10 au div 2 ya 19 n.k kwa sekondari? Kama yqpo kuna uwezekano kuna pont pia ndo uziandike hapo kama hakuna basi piga cm psrs wakupe maelekezo mengineMiaka yetu hakuna transcript aisee....wala GPA.
Mkuu, mm nakupa pole sana yn tokea 2011 mpaka sasa hujapata kazi na safari hii unataka tena kuomba aisee Mungu akupe nguvu kwa kweli.Iko hivi 2011,diploma in secondary education....cheti kinatoka na matokeo ya kozi ulizosoma hapohapo. Kinafanana kila kitu na vile vya form four na form six. Na hakuna GPA. Ndo maana nikauliza au hii yangu ni outdated...za sasa zina transcript na gpa?
Cha kufanya hapo ni bahati nasibu.Kwa hiyo kwenye vyeti hakuna madaraja kama distinction ,credit ,merit n.k? kama ilivo div 1 ya 10 au div 2 ya 19 n.k kwa sekondari? Kama yqpo kuna uwezekano kuna pont pia ndo uziandike hapo kama hakuna basi piga cm psrs wakupe maelekezo mengine
Kama matokeo yapo kwenye chetii yawezekana ukaweka cheti tu inatosha maana inaonesha matokeo ya masomo yote
Wewe fikilia machungu anayoyapata mtu kama huyu anaajiriwa mtu wa 2023 anaachwa wa 2011..mwaka jana Mimi nilitaka kulia kabisa , Mimi nilimaliza chuo 2010+ Na mdogo wangu alimaliza chuo 2022 Na sote tumesoma kozi za afya kwa level Ile Ile cha ajabu Mimi nikanyimwa ajira Na mdogo wangu akapata....kuna wakati nilikuwa najiuliza Tamisemi wanatumia vigezo Gani?....yaani unamnyima mtu ajira aliesota miaka 5+ unampa mtu ajira aliekaa mtaani mwaka mmoja??.....kuna jamaa niliwahi kumuuliza akaniambia eti ni bahati tuπ...lakini muda mwingine Huwa nakaa nafikilia huwenda ni kwa sababu wengine tunaidis sana serikali ya ccm kwa hiyo mfumo unatufuatiria Na kututemaπππ.......lakini pia muda mwingine Huwa nafikilia labda Tamisemi wameamua kutukomoa sisi wenye umri mkubwa ili tuendelee kuichukia serikali......Na muda mwingine Huwa nafikilia kule tamisemi huwenda kuna mwamba Huwa ananifuatilia mitandaoni kwa hiyo aliamua kutengeneza mazingira ya kuli black list jina langu kwenye maombi yoyote ya ajira yaani Kila akiliona jina langu anawaambia wenzie kateni jina la huyo" msenge"ππππ...Mkuu, mm nakupa pole sana yn tokea 2011 mpaka sasa hujapata kazi na safari hii unataka tena kuomba aisee Mungu akupe nguvu kwa kweli.
Hv kwenye suala la umri utakuwa bado upo kwenye line ya utumishi, anyway usichoke kupambana
Kozi ya Afya ilikuwaje ukakosa nafasi enzi za JK wakati ndio mlikuwa mnapata nafasi direct?Wewe fikilia machungu anayoyapata mtu kama huyu anaajiriwa mtu wa 2023 anaachwa wa 2011..mwaka jana Mimi nilitaka kulia kabisa , Mimi nilimaliza chuo 2010+ Na mdogo wangu alimaliza chuo 2022 Na sote tumesoma kozi za afya kwa level Ile Ile cha ajabu Mimi nikanyimwa ajira Na mdogo wangu akapata....kuna wakati nilikuwa najiuliza Tamisemi wanatumia vigezo Gani?....yaani unamnyima mtu ajira aliesota miaka 5+ unampa mtu ajira aliekaa mtaani mwaka mmoja??.....kuna jamaa niliwahi kumuuliza akaniambia eti ni bahati tu[emoji3]...lakini muda mwingine Huwa nakaa nafikilia huwenda ni kwa sababu wengine tunaidis sana serikali ya ccm kwa hiyo mfumo unatufuatiria Na kututema[emoji3][emoji3][emoji3].......lakini pia muda mwingine Huwa nafikilia labda Tamisemi wameamua kutukomoa sisi wenye umri mkubwa ili tuendelee kuichukia serikali......Na muda mwingine Huwa nafikilia kule tamisemi huwenda kuna mwamba Huwa ananifuatilia mitandaoni kwa hiyo aliamua kutengeneza mazingira ya kuli black list jina langu kwenye maombi yoyote ya ajira yaani Kila akiliona jina langu anawaambia wenzie kateni jina la huyo" msenge"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...
Mimi nilimaliza 2017 sio kipindi cha jkKozi ya Afya ilikuwaje ukakosa nafasi enzi za JK wakati ndio mlikuwa mnapata nafasi direct?
Aisee Pole sana.lakini muda mwingine Huwa nakaa nafikilia huwenda ni kwa sababu wengine tunaidis sana serikali ya ccm kwa hiyo mfumo unatufuatiria Na kututemaπππ.....
Hapa wewe ulivyoshindwa kujua hizo kozi ndio ndio mfano hai kujua huo mfumo unashindwa kujua kilichopo ndani ya kozi kwamaana masomo yakufundishiaADEC - Advanced Diploma?
PPM - ?
Ahaa poa.Mimi nilimaliza 2017 sio kipindi cha jk
Mwisho miaka 45,yeye mbona bado sana huyoMkuu, mm nakupa pole sana yn tokea 2011 mpaka sasa hujapata kazi na safari hii unataka tena kuomba aisee Mungu akupe nguvu kwa kweli.
Hv kwenye suala la umri utakuwa bado upo kwenye line ya utumishi, anyway usichoke kupambana
Ila usikute alikataa serikali serikaliji akawa anataka kujiajiri au alikua private maana miaka hiyo ajira zilikua direct wakimaliza wanapangwa wala amuandiki barua manachagua π kuna kitu hapaMkuu, mm nakupa pole sana yn tokea 2011 mpaka sasa hujapata kazi na safari hii unataka tena kuomba aisee Mungu akupe nguvu kwa kweli.
Hv kwenye suala la umri utakuwa bado upo kwenye line ya utumishi, anyway usichoke kupambana
Yn umeandikiwa hapo vinavyotakiwa lkn bado unakuja kuuliza huku πNaomba kufahamishwa viambata vinavyotakiwa kupigwa muhuri wa mwanasheria
Hakuna shida hapo.Wakuu majina kwenye vyetu vya taaluma Ni mawili ila kwenye NIDA ambayo nimetumia kufungua account ajira portal Ni matatu...hapa hii changamoto inakauje ,Kwa aliyekutana nayo akabahatika kuitwa kwenye hata usaili huko ajira portal huwa wanachukua majina yapi matatu au mawili tu ?
Huyu mfumo lazima umkatae serikali haichukui wale wa kikwete moja kwa mojaIla usikute alikataa serikali serikaliji akawa anataka kujiajiri au alikua private maana miaka hiyo ajira zilikua direct wakimaliza wanapangwa wala amuandiki barua manachagua [emoji3] kuna kitu hapa
Naomba na Mimi unitumie cvKweli walimu Mungu awatie nguvu.
Haya cv utaikuta kwa Acc yako.
Nahitaji ufaham zaidi kwa maana kwamba hadi transcript ya cheti cha chuo inapigwa muhuriYn umeandikiwa hapo vinavyotakiwa lkn bado unakuja kuuliza huku π