Wewe fikilia machungu anayoyapata mtu kama huyu anaajiriwa mtu wa 2023 anaachwa wa 2011..mwaka jana Mimi nilitaka kulia kabisa , Mimi nilimaliza chuo 2010+ Na mdogo wangu alimaliza chuo 2022 Na sote tumesoma kozi za afya kwa level Ile Ile cha ajabu Mimi nikanyimwa ajira Na mdogo wangu akapata....kuna wakati nilikuwa najiuliza Tamisemi wanatumia vigezo Gani?....yaani unamnyima mtu ajira aliesota miaka 5+ unampa mtu ajira aliekaa mtaani mwaka mmoja??.....kuna jamaa niliwahi kumuuliza akaniambia eti ni bahati tu[emoji3]...lakini muda mwingine Huwa nakaa nafikilia huwenda ni kwa sababu wengine tunaidis sana serikali ya ccm kwa hiyo mfumo unatufuatiria Na kututema[emoji3][emoji3][emoji3].......lakini pia muda mwingine Huwa nafikilia labda Tamisemi wameamua kutukomoa sisi wenye umri mkubwa ili tuendelee kuichukia serikali......Na muda mwingine Huwa nafikilia kule tamisemi huwenda kuna mwamba Huwa ananifuatilia mitandaoni kwa hiyo aliamua kutengeneza mazingira ya kuli black list jina langu kwenye maombi yoyote ya ajira yaani Kila akiliona jina langu anawaambia wenzie kateni jina la huyo" msenge"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...