Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Miaka yetu hakuna transcript aisee....wala GPA.
Kwa hiyo kwenye vyeti hakuna madaraja kama distinction ,credit ,merit n.k? kama ilivo div 1 ya 10 au div 2 ya 19 n.k kwa sekondari? Kama yqpo kuna uwezekano kuna pont pia ndo uziandike hapo kama hakuna basi piga cm psrs wakupe maelekezo mengine
Kama matokeo yapo kwenye chetii yawezekana ukaweka cheti tu inatosha maana inaonesha matokeo ya masomo yote
 
Iko hivi 2011,diploma in secondary education....cheti kinatoka na matokeo ya kozi ulizosoma hapohapo. Kinafanana kila kitu na vile vya form four na form six. Na hakuna GPA. Ndo maana nikauliza au hii yangu ni outdated...za sasa zina transcript na gpa?
Mkuu, mm nakupa pole sana yn tokea 2011 mpaka sasa hujapata kazi na safari hii unataka tena kuomba aisee Mungu akupe nguvu kwa kweli.
Hv kwenye suala la umri utakuwa bado upo kwenye line ya utumishi, anyway usichoke kupambana
 
Kwa hiyo kwenye vyeti hakuna madaraja kama distinction ,credit ,merit n.k? kama ilivo div 1 ya 10 au div 2 ya 19 n.k kwa sekondari? Kama yqpo kuna uwezekano kuna pont pia ndo uziandike hapo kama hakuna basi piga cm psrs wakupe maelekezo mengine
Kama matokeo yapo kwenye chetii yawezekana ukaweka cheti tu inatosha maana inaonesha matokeo ya masomo yote
Cha kufanya hapo ni bahati nasibu.

Huku akiendelea kuwatafuta utumishi ikitokea wameshindwa kumsaidia bc asiache hii nafasi ikampita nashauri aangalie maksi alizopata za wakati huo 2011 halafu alinganishe na maksi mwaka wa kwanza ambapo GPA zilianza kutumika ili ajitengenezee GPA yake, yn kama mambo ya GPA yalianza 2015 bc naye alinganishe matokeo yake kupitia hayo madaraja ya 2015

Mamtolo
 
Mkuu, mm nakupa pole sana yn tokea 2011 mpaka sasa hujapata kazi na safari hii unataka tena kuomba aisee Mungu akupe nguvu kwa kweli.
Hv kwenye suala la umri utakuwa bado upo kwenye line ya utumishi, anyway usichoke kupambana
Wewe fikilia machungu anayoyapata mtu kama huyu anaajiriwa mtu wa 2023 anaachwa wa 2011..mwaka jana Mimi nilitaka kulia kabisa , Mimi nilimaliza chuo 2010+ Na mdogo wangu alimaliza chuo 2022 Na sote tumesoma kozi za afya kwa level Ile Ile cha ajabu Mimi nikanyimwa ajira Na mdogo wangu akapata....kuna wakati nilikuwa najiuliza Tamisemi wanatumia vigezo Gani?....yaani unamnyima mtu ajira aliesota miaka 5+ unampa mtu ajira aliekaa mtaani mwaka mmoja??.....kuna jamaa niliwahi kumuuliza akaniambia eti ni bahati tu😀...lakini muda mwingine Huwa nakaa nafikilia huwenda ni kwa sababu wengine tunaidis sana serikali ya ccm kwa hiyo mfumo unatufuatiria Na kututema😀😀😀.......lakini pia muda mwingine Huwa nafikilia labda Tamisemi wameamua kutukomoa sisi wenye umri mkubwa ili tuendelee kuichukia serikali......Na muda mwingine Huwa nafikilia kule tamisemi huwenda kuna mwamba Huwa ananifuatilia mitandaoni kwa hiyo aliamua kutengeneza mazingira ya kuli black list jina langu kwenye maombi yoyote ya ajira yaani Kila akiliona jina langu anawaambia wenzie kateni jina la huyo" msenge"😀😀😀😀...
 
Wewe fikilia machungu anayoyapata mtu kama huyu anaajiriwa mtu wa 2023 anaachwa wa 2011..mwaka jana Mimi nilitaka kulia kabisa , Mimi nilimaliza chuo 2010+ Na mdogo wangu alimaliza chuo 2022 Na sote tumesoma kozi za afya kwa level Ile Ile cha ajabu Mimi nikanyimwa ajira Na mdogo wangu akapata....kuna wakati nilikuwa najiuliza Tamisemi wanatumia vigezo Gani?....yaani unamnyima mtu ajira aliesota miaka 5+ unampa mtu ajira aliekaa mtaani mwaka mmoja??.....kuna jamaa niliwahi kumuuliza akaniambia eti ni bahati tu[emoji3]...lakini muda mwingine Huwa nakaa nafikilia huwenda ni kwa sababu wengine tunaidis sana serikali ya ccm kwa hiyo mfumo unatufuatiria Na kututema[emoji3][emoji3][emoji3].......lakini pia muda mwingine Huwa nafikilia labda Tamisemi wameamua kutukomoa sisi wenye umri mkubwa ili tuendelee kuichukia serikali......Na muda mwingine Huwa nafikilia kule tamisemi huwenda kuna mwamba Huwa ananifuatilia mitandaoni kwa hiyo aliamua kutengeneza mazingira ya kuli black list jina langu kwenye maombi yoyote ya ajira yaani Kila akiliona jina langu anawaambia wenzie kateni jina la huyo" msenge"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...
Kozi ya Afya ilikuwaje ukakosa nafasi enzi za JK wakati ndio mlikuwa mnapata nafasi direct?
 
lakini muda mwingine Huwa nakaa nafikilia huwenda ni kwa sababu wengine tunaidis sana serikali ya ccm kwa hiyo mfumo unatufuatiria Na kututema😀😀😀.....
Aisee Pole sana.
- BTW: Iwapo umri wako ni chini ya miaka 45, bado una nafasi ya kupata ajira.
 
Mkuu, mm nakupa pole sana yn tokea 2011 mpaka sasa hujapata kazi na safari hii unataka tena kuomba aisee Mungu akupe nguvu kwa kweli.
Hv kwenye suala la umri utakuwa bado upo kwenye line ya utumishi, anyway usichoke kupambana
Mwisho miaka 45,yeye mbona bado sana huyo
 
Mkuu, mm nakupa pole sana yn tokea 2011 mpaka sasa hujapata kazi na safari hii unataka tena kuomba aisee Mungu akupe nguvu kwa kweli.
Hv kwenye suala la umri utakuwa bado upo kwenye line ya utumishi, anyway usichoke kupambana
Ila usikute alikataa serikali serikaliji akawa anataka kujiajiri au alikua private maana miaka hiyo ajira zilikua direct wakimaliza wanapangwa wala amuandiki barua manachagua 😀 kuna kitu hapa
 
Naomba kufahamishwa viambata vinavyotakiwa kupigwa muhuri wa mwanasheria
 
Attachments

  • Screenshot_20240723-113553.png
    Screenshot_20240723-113553.png
    29.3 KB · Views: 5
Wakuu majina kwenye vyetu vya taaluma Ni mawili ila kwenye NIDA ambayo nimetumia kufungua account ajira portal Ni matatu...hapa hii changamoto inakauje ,Kwa aliyekutana nayo akabahatika kuitwa kwenye hata usaili huko ajira portal huwa wanachukua majina yapi matatu au mawili tu ?
Hakuna shida hapo.
 
Jamani mimi dogo hajapewa transcript na NACTE ila ana vyeti vyote vipi mfumo utakubali kupokea maombi?
 
Back
Top Bottom