Hata mim yangu haijafika 95% na imeandika hvohvo ,lkn wengn wanasema inabid ifike 100% ndio maombi yako yaangaliwe . Sas hyo mia naifikishaje jmn. Na pale kwny professional qualifications wanajaza nin wadau?Account yangu Ina 92% maombi nimetuma imeandika received apo ni tayari yamefika wakuu?
[emoji23][emoji23]Tayari yamefika ! Anza mazoezi ya kusoma na kufanya interview
Mkuu alosema ifike 100% ndio maombi yaangaliwe nani. Utafikaje 100% wakati kuna parts kama professional qualifications haiwezekani kujaza watu wa kada ya Ualimu? 92% ndio highest mark kwa asilimia kubwa ya waalimu wanaaomba kazi kupitia ajira Portal.Hata mim yangu haijafika 95% na imeandika hvohvo ,lkn wengn wanasema inabid ifike 100% ndio maombi yako yaangaliwe . Sas hyo mia naifikishaje jmn. Na pale kwny professional qualifications wanajaza nin wadau?
Wewe tumia email Yako ya zamani nenda forget password kama nilivokuelekeza kwenye hiyo commentBado nikitaka kuweka personal details kwenye sehemu ya nida
Unakumbuka username yako?? Kama unakumbuka nijibu nikupe maelezoBado nikitaka kuweka personal details kwenye sehemu ya nida
Kwa maana ya email ya zamani nakumbukaUnakumbuka username yako?? Kama unakumbuka nijibu nikupe maelezo
Mimi nilikua na shida kama yako nikawapigia wakanielekeza niandike username password wakasema niandike 1 mpaka 8 ila nakushauri wapigie kwanzaKwa maana ya email ya zamani nakumbuka
Mimi nilikua na shida kama yako nikawapigia wakanielekeza niandike username password wakasema niandike 1 mpaka 8 ila nakushauri wapigie kwanzusee
Nitumie Ile username ya za zamani ambayo sikumbuki password zake au hii mpya ninayo kumbuka passwordMimi nilikua na shida kama yako nikawapigia wakanielekeza niandike username password wakasema niandike 1 mpaka 8 ila nakushauri wapigie kwanza
Ya zamaniNitumie Ile username ya za zamani ambayo sikumbuki password zake au hii mpya ninayo kumbuka password
Makosa lazima yawepo sisi binadum sio robotiKwa wanaoomba kazi kupitia mfumo wa ajiraportal, ili iwe na assurance ya kwanza ya kuwa shortlisted ukiachana na vigezo vingine, hakikisha umezingatia haya kwenye mfumo (akaunti yako)
1. Umeweka vyet vilivyopigwa mhuri kwa mwanasheria kwa maana ya vyeti vyote vya kitaaluma (4,6, chuo, transcript plus chet cha kuzaliwa ni lazima)
2. Uwe umeattach documents/attachments zote kulingana na level ya elim ulizopita" hapa unakuta mtu kasoma chuo ila hajaweka transcripts " my dear expect nothing
3. Hakikisha barua yako ya maombi inazingatia vitu viwili vikibwa kwanza iwe imesainiwa na wewe mwombaji wa nafasi hzo, pili hakikisha barua iwe directed kwenye anuani husika kama ulivoelekezwa" usikosee hata kdogo anuani kitakulamba[emoji23]
4. Hakikisha mihuri ulopiga kwenye vyeti ni official syo umekutana na wakili uchwara tu kaokota mhuri huko ukapiga" itakucost
5. Hakikisha umeweka chet cha kuzaliwa ni mhim , usipoweka huwez kuwa shortlisted
6. Kama umefanya duplication ya certificates unakuta mtu kaweka same Bachelor kama mara 3 kakosea tu katika ujazaji" fanya jihad za kuichomoa ila isikupe wasiwas kikubwa kama haikulimit kuapply unaweza kuwa shortlisted ila fanya namna ya kuiweka Sawa
7. Hakikisha umeweka passport size,
8. Hakikisha umejaza wadhamin wako watatu na ni vizuri wasiwe ndugu, unakuta mtu jna lake ni PAUL JOHN, ukija kucheki wadhamini wote tunaona kina JOHN tu[emoji23] kdogo inaweza kuleta shda japo so sana
9. Hakikisha umeweka CV yako" na usitumie cv ile inayokuwa generated from ajiraportal account, tumia cv ya kawaida za kila sku tunazotengeneza
10. Hakikisha kama Kuna shida ya majina labda nida na majina yako haviendaniii , au chet cha kuzaliwa pia Kuna shda na majna yako halisi hakikisha ume attach affidavit/kiapo pale kwenye other attachments Kuna hyo sehem.
Above all" mkabidhi Mungu kwenye kila ktu
Verification ni kwa wale tu waliosoma nje ya nchi na vyeti vyao vikawa Verify na Nacte and TCU.Msaada plz. Kwann wanaandika "you haven't added any verification certificate wakati vyeti vyangu nimeverify?,nifanyaje hapo?View attachment 3052855
Ukipata akili utagundua sio lazima serikali ikuajiriWewe fikilia machungu anayoyapata mtu kama huyu anaajiriwa mtu wa 2023 anaachwa wa 2011..mwaka jana Mimi nilitaka kulia kabisa , Mimi nilimaliza chuo 2010+ Na mdogo wangu alimaliza chuo 2022 Na sote tumesoma kozi za afya kwa level Ile Ile cha ajabu Mimi nikanyimwa ajira Na mdogo wangu akapata....kuna wakati nilikuwa najiuliza Tamisemi wanatumia vigezo Gani?....yaani unamnyima mtu ajira aliesota miaka 5+ unampa mtu ajira aliekaa mtaani mwaka mmoja??.....kuna jamaa niliwahi kumuuliza akaniambia eti ni bahati tuπ...lakini muda mwingine Huwa nakaa nafikilia huwenda ni kwa sababu wengine tunaidis sana serikali ya ccm kwa hiyo mfumo unatufuatiria Na kututemaπππ.......lakini pia muda mwingine Huwa nafikilia labda Tamisemi wameamua kutukomoa sisi wenye umri mkubwa ili tuendelee kuichukia serikali......Na muda mwingine Huwa nafikilia kule tamisemi huwenda kuna mwamba Huwa ananifuatilia mitandaoni kwa hiyo aliamua kutengeneza mazingira ya kuli black list jina langu kwenye maombi yoyote ya ajira yaani Kila akiliona jina langu anawaambia wenzie kateni jina la huyo" msenge"ππππ...
Nje ya mada, mkuu kama utakuwa na access ya Sheria ya wenye ulemavu naomba.Anwani hii hapa iliandikwa kwenye TangazoView attachment 3051861
Ulisoma nje ya nchi mkuu??Msaada plz. Kwann wanaandika "you haven't added any verification certificate wakati vyeti vyangu nimeverify?,nifanyaje hapo?View attachment 3052855