Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

This must be bad news to our fiends in CHADEMA, makamansapipozz. I mean, sasa CCM wanatekeleza Ilani yao shindig, wanemuweka CPA kuwa Mwenezi na Miss World kwa kina Mama. Sasa imebaki ile serkali ya Majimbo yaani ukabila kama zile County za Kenya, sijui wataiuzaje?
 
Account yangu Ina 92% maombi nimetuma imeandika received apo ni tayari yamefika wakuu?
Hata mim yangu haijafika 95% na imeandika hvohvo ,lkn wengn wanasema inabid ifike 100% ndio maombi yako yaangaliwe . Sas hyo mia naifikishaje jmn. Na pale kwny professional qualifications wanajaza nin wadau?
 
Hata mim yangu haijafika 95% na imeandika hvohvo ,lkn wengn wanasema inabid ifike 100% ndio maombi yako yaangaliwe . Sas hyo mia naifikishaje jmn. Na pale kwny professional qualifications wanajaza nin wadau?
Mkuu alosema ifike 100% ndio maombi yaangaliwe nani. Utafikaje 100% wakati kuna parts kama professional qualifications haiwezekani kujaza watu wa kada ya Ualimu? 92% ndio highest mark kwa asilimia kubwa ya waalimu wanaaomba kazi kupitia ajira Portal.
 
.
IMG-20240726-WA0044.jpg
 
Mimi nilikua na shida kama yako nikawapigia wakanielekeza niandike username password wakasema niandike 1 mpaka 8 ila nakushauri wapigie kwanza
Nitumie Ile username ya za zamani ambayo sikumbuki password zake au hii mpya ninayo kumbuka password
 
Nawashukuru members wote walionielekeza
Nilikuwa nasumbuliwa na password nimepiga cm na shida yangu umeisha kabisa
Asanteni sana
 
Kwa wanaoomba kazi kupitia mfumo wa ajiraportal, ili iwe na assurance ya kwanza ya kuwa shortlisted ukiachana na vigezo vingine, hakikisha umezingatia haya kwenye mfumo (akaunti yako)
1. Umeweka vyet vilivyopigwa mhuri kwa mwanasheria kwa maana ya vyeti vyote vya kitaaluma (4,6, chuo, transcript plus chet cha kuzaliwa ni lazima)
2. Uwe umeattach documents/attachments zote kulingana na level ya elim ulizopita" hapa unakuta mtu kasoma chuo ila hajaweka transcripts " my dear expect nothing
3. Hakikisha barua yako ya maombi inazingatia vitu viwili vikibwa kwanza iwe imesainiwa na wewe mwombaji wa nafasi hzo, pili hakikisha barua iwe directed kwenye anuani husika kama ulivoelekezwa" usikosee hata kdogo anuani kitakulamba[emoji23]

4. Hakikisha mihuri ulopiga kwenye vyeti ni official syo umekutana na wakili uchwara tu kaokota mhuri huko ukapiga" itakucost
5. Hakikisha umeweka chet cha kuzaliwa ni mhim , usipoweka huwez kuwa shortlisted
6. Kama umefanya duplication ya certificates unakuta mtu kaweka same Bachelor kama mara 3 kakosea tu katika ujazaji" fanya jihad za kuichomoa ila isikupe wasiwas kikubwa kama haikulimit kuapply unaweza kuwa shortlisted ila fanya namna ya kuiweka Sawa

7. Hakikisha umeweka passport size,
8. Hakikisha umejaza wadhamin wako watatu na ni vizuri wasiwe ndugu, unakuta mtu jna lake ni PAUL JOHN, ukija kucheki wadhamini wote tunaona kina JOHN tu[emoji23] kdogo inaweza kuleta shda japo so sana
9. Hakikisha umeweka CV yako" na usitumie cv ile inayokuwa generated from ajiraportal account, tumia cv ya kawaida za kila sku tunazotengeneza
10. Hakikisha kama Kuna shida ya majina labda nida na majina yako haviendaniii , au chet cha kuzaliwa pia Kuna shda na majna yako halisi hakikisha ume attach affidavit/kiapo pale kwenye other attachments Kuna hyo sehem.

Above all" mkabidhi Mungu kwenye kila ktu
Makosa lazima yawepo sisi binadum sio roboti
 
Wewe fikilia machungu anayoyapata mtu kama huyu anaajiriwa mtu wa 2023 anaachwa wa 2011..mwaka jana Mimi nilitaka kulia kabisa , Mimi nilimaliza chuo 2010+ Na mdogo wangu alimaliza chuo 2022 Na sote tumesoma kozi za afya kwa level Ile Ile cha ajabu Mimi nikanyimwa ajira Na mdogo wangu akapata....kuna wakati nilikuwa najiuliza Tamisemi wanatumia vigezo Gani?....yaani unamnyima mtu ajira aliesota miaka 5+ unampa mtu ajira aliekaa mtaani mwaka mmoja??.....kuna jamaa niliwahi kumuuliza akaniambia eti ni bahati tu😀...lakini muda mwingine Huwa nakaa nafikilia huwenda ni kwa sababu wengine tunaidis sana serikali ya ccm kwa hiyo mfumo unatufuatiria Na kututema😀😀😀.......lakini pia muda mwingine Huwa nafikilia labda Tamisemi wameamua kutukomoa sisi wenye umri mkubwa ili tuendelee kuichukia serikali......Na muda mwingine Huwa nafikilia kule tamisemi huwenda kuna mwamba Huwa ananifuatilia mitandaoni kwa hiyo aliamua kutengeneza mazingira ya kuli black list jina langu kwenye maombi yoyote ya ajira yaani Kila akiliona jina langu anawaambia wenzie kateni jina la huyo" msenge"😀😀😀😀...
Ukipata akili utagundua sio lazima serikali ikuajiri
Serikali haiwezi kuajiri kila mtu, soko la ajira lipo saturated
Pia ushauri huwa nawapa jobless wengi, punguza makasiriko, punguza lawama, punguza manung'uniko. Kama ni kijana tumia muda mwingi kupambana kuliko kulaumu, hakuna tuzo ya lawama. Hili plvu ulilotoa linaonyesha kabisa ww sio mtu makini. Ajira hakuna ila kazi zipo, kama ukiendelea kulialia hivi ndio mswishoe mnaamua kujicommit suicide

Tuliza wenge
 
Back
Top Bottom