Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Nimejalibu mara nyingi sana mkuu,inakubali successful ila nikija kucheki nakuta mambo ni vilevile🤦
Mbona Mimi imekubali mda huo huo, Hamna cha kisubiri mda cjui ,kama unatumia cm jaribu kubadilisha tumia computer cm znazinguaa
 

Asante ubarikiwe sana kwa maelezo yako .
 
Mkuu Doubleg Malafyale issue ya nida unaenda nida unawapa 20K au lazima uende mahakamani na kwa msajiri wa ardhi ndo then uende nida

Au naweza kwenda nida nikatoa 20 wakanieditia majina kwenye nida?

Je inachukua muda gani ?✊🏿
 
Mkuu Doubleg Malafyale issue ya nida unaenda nida unawapa 20K au lazima uende mahakamani na kwa msajiri wa ardhi ndo then uende nida

Au naweza kwenda nida nikatoa 20 wakanieditia majina kwenye nida?

Je inachukua muda gani ?✊🏿
Kulipa elf 20 ni hatua ya mwisho utapewa control number unalipia,nenda na iD yako utawapa maelezo nini shida yako wao watakupa muongozo kulingana na tatizo lako kuna form unajaza,utaambiwa vya kuambatanisha na hatua zingine zote utaambiwa hapo,kama form inekamilika na kulipia hiyo elf 20 baada ya week 2 majina yanakuwa yamerekebishwa but ID yaweza chelewa kukufikia ukapata zaidi ya huo muda ila sio ishu maana Namba ya NIDA inabaki ile ile,kwa hiyo uki update taarifa ajira portal itasoma jina jipya ambalo pia lipo kwenye vyeti vyako
kitambulishokikiwa tayari kitakufikia, kwenye mfumo majira yakiwa sawa ukiwa shortlisted ata bila ID ya NIDA,unaweza kwenda na kitambulisho cha kura,barua ya mtendaji n.k

Nenda ofisi za NIDA jiranj yako maelezo yote utapewa

Cha mahakama niliongelea incase jina limetoka kwa muda huu ambao majina yako tofauti kwenye NIDA, Na vyeti unaweza kwenda mahakamani ukamtoa ata 10 hakimu akakuandikoa kiapo cha kutambua majina yote yanayosoma kwenye NIDA na kwenye vyeti kuwa yote ni yako ili tu usipate usumbufu toka watu wa utumishi,na utakitumia kwa muda tu hicho kiapo but majina yakirebishwa haina haja

NIDA ni muhimu ifanane majina na vyeti vyako maana sahivi ndio inatumika katika ajira,wanaoanisha taarifa zako za NIDA,na document zako zote za kielimu, voters ID,passport ya kusafiria n.k
 


Asante Sana kiongozi sasa ni kujiandaa kikamilifu na mchakato
 
Waongeze siku 10 za maombi jamani mimi ndio kwanza nimefikisha 34% leo Kwa mbinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…