Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeattachi kimakosaa kwenye academic qualifications,sehemu ya cheti Cha chuo nimeweka Cha Form 6. Naediti vipii wazee
Bonyeza kwenye edit hapo AF nenda choose file kisha unaweka cheti unasaveNimeattachi kimakosaa kwenye academic qualifications,sehemu ya cheti Cha chuo nimeweka Cha Form 6. Naediti vipii wazee
Nimeattachi kimakosaa kwenye academic qualifications,sehemu ya cheti Cha chuo nimeweka Cha Form 6. Naediti vipii wazee
Bonyeza kwenye edit hapo AF nenda choose file kisha unaweka cheti unasaveNimeattachi kimakosaa kwenye academic qualifications,sehemu ya cheti Cha chuo nimeweka Cha Form 6. Naediti vipii wazee
Asante mkuuBonyeza kwenye edit hapo AF nenda choose file kisha unaweka cheti unasave
Wengine wanaamini 100% ndo analamba asali😀😀😀 kimbe kuna mkando , mimi nina 87 ila sijawahi achwa kwenye shortlist kwa post ambayo nina vigezoHt ukijaza taarifa za uongo bado itakuongezea %
Kuwa na % kubwa sio kigezo cha kupata kazi.
Nimejalibu mara nyingi sana mkuu,inakubali successful ila nikija kucheki nakuta mambo ni vilevile🤦Bonyeza kwenye edit hapo AF nenda choose file kisha unaweka cheti unasave
Unatumia divice Gani?Nimejalibu mara nyingi sana mkuu,inakubali successful ila nikija kucheki nakuta mambo ni vilevile🤦
Tulia, imeshajiweka tyr ila hua haionyeshi kwa muda huo huoNimejalibu mara nyingi sana mkuu,inakubali successful ila nikija kucheki nakuta mambo ni vilevile🤦
Mbona Mimi imekubali mda huo huo, Hamna cha kisubiri mda cjui ,kama unatumia cm jaribu kubadilisha tumia computer cm znazinguaaNimejalibu mara nyingi sana mkuu,inakubali successful ila nikija kucheki nakuta mambo ni vilevile🤦
🙏🙏🙏🙏🙏Tulia, imeshajiweka tyr ila hua haionyeshi kwa muda huo huo
Tumia computer wewe unapopreview ikaja ya zamani relod hapo hapo kwa hiyo browser Yako kinachange chapu muda huo huoSimuu mkuu
N
Nenda NIDA watarekebisha majina yafanane na ya kwenye vyeri vya shule pamoja na kuzaliwa
Tumia kwanza NIDA hiyo hiyo kusajiri akaunt na omba hizo nafasi kama kawaida
Ukiitwa kabla hujabadili majina ya nida yafanane na vyeti utaenda na kiapo cha mahakama kwenye usaili
Nimepitia hii kitu ila mm walikosea majina NIDA ila nikawa naenda kwenye usaili na kiapo cha mahakama baadae NIDA Nikabadili taarifa
N.B Kubadili taarifa NIDA namba ya NIDA inabkai hiyo hiyo wao wana edit majina tu kisha utapewa kitambulisho kingine chenye majina yanayofanan na vyeri vyako
Kuna form utaambiwa ujaze na kulipia elf 20
Maelezo yote utapewa ofisi ya NIDA iliyo karibu nawe
Karibu
Kulipa elf 20 ni hatua ya mwisho utapewa control number unalipia,nenda na iD yako utawapa maelezo nini shida yako wao watakupa muongozo kulingana na tatizo lako kuna form unajaza,utaambiwa vya kuambatanisha na hatua zingine zote utaambiwa hapo,kama form inekamilika na kulipia hiyo elf 20 baada ya week 2 majina yanakuwa yamerekebishwa but ID yaweza chelewa kukufikia ukapata zaidi ya huo muda ila sio ishu maana Namba ya NIDA inabaki ile ile,kwa hiyo uki update taarifa ajira portal itasoma jina jipya ambalo pia lipo kwenye vyeti vyakoMkuu Doubleg Malafyale issue ya nida unaenda nida unawapa 20K au lazima uende mahakamani na kwa msajiri wa ardhi ndo then uende nida
Au naweza kwenda nida nikatoa 20 wakanieditia majina kwenye nida?
Je inachukua muda gani ?✊🏿
Kulipa elf 20 ni hatua ya mwisho utapewa control number unalipia,nenda na iD yako utawapa maelezo nini shida yako wao watakupa muongozo kulingana na tatizo lako kuna form unajaza,utaambiwa vya kuambatanisha na hatua zingine zote utaambiwa hapo,kama form inekamilika na kulipia hiyo elf 20 baada ya week 2 majina yanakuwa yamerekebishwa but ID yaweza chelewa kukufikia ukapata zaidi ya huo muda ila sio ishu maana Namba ya NIDA inabaki ile ile,kwa hiyo uki update taarifa ajira portal itasoma jina jipya ambalo pia lipo kwenye vyeti vyako
kitambulishokikiwa tayari kitakufikia, kwenye mfumo majira yakiwa sawa ukiwa shortlisted ata bila ID ya NIDA,unaweza kwenda na kitambulisho cha kura,barua ya mtendaji n.k
Nenda ofisi za NIDA jiranj yako maelezo yote utapewa
Cha mahakama niliongelea incase jina limetoka kwa muda huu ambao majina yako tofauti kwenye NIDA, Na vyeti unaweza kwenda mahakamani ukamtoa ata 10 hakimu akakuandikoa kiapo cha kutambua majina yote yanayosoma kwenye NIDA na kwenye vyeti kuwa yote ni yako ili tu usipate usumbufu toka watu wa utumishi,na utakitumia kwa muda tu hicho kiapo but majina yakirebishwa haina haja
NIDA ni muhimu ifanane majina na vyeti vyako maana sahivi ndio inatumika katika ajira,wanaoanisha taarifa zako za NIDA,na document zako zote za kielimu, voters ID,passport ya kusafiria n.k
Kwann unajaza taratibu? Mchakato mbona ni muda mfupi unajaza yote na kuapplyWaongeze siku 10 za maombi jamani mimi ndio kwanza nimefikisha 34% leo Kwa mbinde
Mbona h ishu unaweza kuijaza ndan ya siku moja, ww unafeli wap?Waongeze siku 10 za maombi jamani mimi ndio kwanza nimefikisha 34% leo Kwa mbinde