Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Binafsi naombea interview ipigwe ili angalau tupate walimu wazuri maana kuna watu wanaajiriwa mpaka unashangaa kama ni mwalimu kweli.
Unaujua mshahara wa mwalimu lakini au unaongea utumbo uonekane na ww
 
Naomba Mungu watu wa afya na waalimu wawe na Interview hata ile ya tell us about yourself 😎
 
Acha uongo wewe ajiraportal hawajaanza leo hili zoezi la kusimamia sahili…

Interview lazima mmpige
 
Acha uongo wewe ajiraportal hawajaanza leo hili zoezi la kusimamia sahili…

Interview lazima mmpige
Watu wa afya na waalimu wasipofanya interview aisee roho yangu itauma sana 😂
 
Wazee hapa kwenye declaration kuna aliyefanikiwa ku blue tick?
Maana option naona haipo live
 
Umejaza profile yako vizuri Mkuu?

Maana inashauriwa ili uitwe kwenye interview profile yako walau ifike kuanzia asilimia 75 kwenda juu.

Ukiwa below Kuna possibility kubwa usiwe unaitwa kushiriki hizo interviews
Je kuna walioitwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…