Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Binafsi naombea interview ipigwe ili angalau tupate walimu wazuri maana kuna watu wanaajiriwa mpaka unashangaa kama ni mwalimu kweli.
Unaujua mshahara wa mwalimu lakini au unaongea utumbo uonekane na ww
 
Naomba Mungu watu wa afya na waalimu wawe na Interview hata ile ya tell us about yourself 😎
 
Kama mchakato utafuatwa mchakato utakamilika mwakani mwezi wa 2~4.
Kukagua viambatanisho kwenye mfumo miezi 2, kuandaa orodha na kuita watu kwenye interview mwezi 1 interview ya written, practical na oral miezi ( ndo ndo muda mwingi utatumika)
Kwenye practical na oral mtu mmoja anatumia dk30~45 sasa kwa siku moja watatumia panel itahoji watu 10~15.
Kuhoji watu 1500 zitahitajika panel 100 sawa na watu 300.
Acha uongo wewe ajiraportal hawajaanza leo hili zoezi la kusimamia sahili…

Interview lazima mmpige
 
Acha uongo wewe ajiraportal hawajaanza leo hili zoezi la kusimamia sahili…

Interview lazima mmpige
Watu wa afya na waalimu wasipofanya interview aisee roho yangu itauma sana 😂
 
Wazee hapa kwenye declaration kuna aliyefanikiwa ku blue tick?
Maana option naona haipo live
Screenshot_20240802_204452_Chrome.jpg
 
Umejaza profile yako vizuri Mkuu?

Maana inashauriwa ili uitwe kwenye interview profile yako walau ifike kuanzia asilimia 75 kwenda juu.

Ukiwa below Kuna possibility kubwa usiwe unaitwa kushiriki hizo interviews
Je kuna walioitwa??
 
Back
Top Bottom