VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
kaka nimepata 52 wamechkua had 64 yan nilikua naenda kabsa maana yake hapo nilikua nahtaj maswl matatu tu nipite wenda wangechanganya ningeenda. sema hz marks zimenipa moyo kupambania paper lijalo naona kama inawezkanaPoleni sana aiseh mkuu mbona shida...
Acha uwongo nimeingia kwenye pepa ya juzi sikujaza hata swali mkeka umetoka wameniwekea 48Utumishi wako fair sana ukikandwa umekandwa TU hawana upendeleo wowote na wako makini sana na mambo Yao hawabahatishi
Jamaa muongo wewe kwa hiyo waliopata 8 wenyewe hawakupenda kuwekewa hizo marks acheni uzushi usio na tijaAcha uwongo nimeingia kwenye pepa ya juzi sikujaza hata swali mkeka umetoka wameniwekea 48
Kwa kumbukumbu zangu, wewe sio mwlAcha uwongo nimeingia kwenye pepa ya juzi sikujaza hata swali mkeka umetoka wameniwekea 48
Kikundi Cha matapeli kile kimehalalishwa Kwa manufaa ya baadhi waliokihalalisha.Acha uwongo nimeingia kwenye pepa ya juzi sikujaza hata swali mkeka umetoka wameniwekea 48
Bora ww una mawazo chanya, sasa ukutane na Musangaa 😂kaka nimepata 52 wamechkua had 64 yan nilikua naenda kabsa maana yake hapo nilikua nahtaj maswl matatu tu nipite wenda wangechanganya ningeenda. sema hz marks zimenipa moyo kupambania paper lijalo naona kama inawezkana
Dah ww jamaa bhana, kwahy hata waliochaguliwa nao wamepewa marks za uongo?Acha uwongo nimeingia kwenye pepa ya juzi sikujaza hata swali mkeka umetoka wameniwekea 48
Inawezekana Kwa kile kikundi kitakuwa kinatengeneza excell Fulani hivi tu.Dah ww jamaa bhana, kwahy hata waliochaguliwa nao wamepewa marks za uongo?
Mkuu kati ya wachangiaji wa humu wewe unajitahidi ila hili la usaili sitaleta hoja dhidi yako kulingana na mtazamo wako kwa sisi walimu na usaili kwaiyo very sorry sitajibu swali lako tukutane kwenye mada zingineDah ww jamaa bhana, kwahy hata waliochaguliwa nao wamepewa marks za uongo?
Fuatilia nyuzi zangu nilizowahi kuomba ushauri humu utakuja na jibuKwa kumbukumbu zangu, wewe sio mwl
Mkuu kwa hili siongei sana kama wanabisha mwingine akajaribu kama nilivyofanya mimi watakuja na majibu matokeo yakitokaKikundi Cha matapeli kile kimehalalishwa Kwa manufaa ya baadhi waliokihalalisha.
Usibishe ila ukipitia hilo pdf lao utagundua kitu.Dah ww jamaa bhana, kwahy hata waliochaguliwa nao wamepewa marks za uongo?
Ndiyo hivyo. Ukibahatika kuingia kwenye target Yao unapepea kwenye chombo. Mfumo huu ni wa hovyo sana.Usibishe ila ukipitia hilo pdf lao utagundua kitu.
Mimi nimeshangaa inawezekana vp namba zilizo fuatana(interview number) zipate marks sawa na sio sehemu moja yaani marks wamepata ki group.
Mfano.
12356....45
12376.......45
12383.......45
26814.......68
26834.......68
26837........68
Huu mfano ni kwa uchache tu, hapa like walikua wanacopy na ku paste.
Haiwezekani waweke marks kwa kukadiria kizembe hvy, kwamba marks haziwezi kufanana? , ujue kuna la maana umeandika ndipo wakadirie, kwahy unataka kusema aliyepata 0 nae alikadiriwa hvyUsibishe ila ukipitia hilo pdf lao utagundua kitu.
Mimi nimeshangaa inawezekana vp namba zilizo fuatana(interview number) zipate marks sawa na sio sehemu moja yaani marks wamepata ki group.
Mfano.
12356....45
12376.......45
12383.......45
26814.......68
26834.......68
26837........68
Huu mfano ni kwa uchache tu, hapa like walikua wanacopy na ku paste.
Mkuu mm sikufanya ya math walinitoa nnje nilkua na kop ya transcrpt, ila niseme tu huu mfumo ni mzr ,kama rushwa basi ni 20% ,ule wa tamisemi uzr wake ni kuchukua watu wa nyuma waliohtimu nyuma ila rushwa ni 50% ,aliyepata amepata mkuu,Usibishe ila ukipitia hilo pdf lao utagundua kitu.
Mimi nimeshangaa inawezekana vp namba zilizo fuatana(interview number) zipate marks sawa na sio sehemu moja yaani marks wamepata ki group.
Mfano.
12356....45
12376.......45
12383.......45
26814.......68
26834.......68
26837........68
Huu mfano ni kwa uchache tu, hapa like walikua wanacopy na ku paste.
Kuandika humu hakukupi kibali cha kujiita mwalimu.Fuatilia nyuzi zangu nilizowahi kuomba ushauri humu utakuja na jibu
Hitimisho la kukumbuka kuwa mimi sio mwalimu kumbe umelitoa wapiKuandika humu hakukupi kibali cha kujiita mwalimu.
Humu hata Padre anaweza kujiita imamu wa msikiti wa Idrisa pale Kkoo.
Nalikufahamu kabla haujaletwa dunianiHitimisho la kukumbuka kuwa mimi sio mwalimu kumbe umelitoa wapi