Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tu ukiweza kuchapa...alhamdullilah.......ukiandika kwa mkono....haleluya.ivi barua inaandikwa kwa mkono au computer?
IIIB-DiplomaMnieleweshe, tofauti ya mwalimu daraja la III B na daraja la III C.
Halafu pia, kwenye tangazo wamesema tuambatanishe na barua ILIYOSAINIWA.. Isainiwe na nani????
GPA ILIYOPO kwenye transcriptNAULIZA.!!
Nimesoma diploma ya ualimu wa sekondari-2011. Nikiingia ajira portal ktk acadwmic qualification...chuo hakipo kwenye orodha pale. Je ni sahihi niki click "OTHER" then niandike jina la hiko chuo manually?
2. Pale chini inadai niweke GPA, nimeshindwa kuelewa niweke nn..maana nina cheti tu cha NECTA kikiwa na matokeo ya jumla...hakuna GPA, Au diploma yangu ni outdated...za sasa zina GPA?
3. CV nayo inasainiwa pale chini?
Vyovyote kikubwa uweke Saini Kwa mkonoivi barua inaandikwa kwa mkono au computer?
Unaweza omba kama mwalimu wa GeographKama nimesoma BED ADEC au PPM ambapo masomo yangu ya kufundishia Geography na HISTORY nafanyaje.
Mbona huwa inafanywa kila lep hivyo hivyo na kwa sasa mnafanya kwa computerHivi unafikri walimu waliopo mtaani ni wachache? Yaani interview ya somo moja uwafanyie siku moja? Mfano walimu walisomea Kiswahili wapo 50000 utawafanyia interview siku 1, wafanye written, practical na oral kwa siku moja?
Angalia vizuri mfumo uko sawa tangazo kama lipo na uko lazima ulikute hilo somoSomo la kemia lipo kwenye tangazo ila kwenye mfumo hakuna sehemu wanataka u apply mwalimu wa somo KEMIA
Vyeti unavyo viweka ni ulivyo vi certify halafu una scan unaviwekaTupo hapa tunabishana ,,,
Vyeti tunavyovi -upload kwenye mfumo ,,,
Ni hizi copy tulizo certify kutoka kwa mwanasheria na kuzi-scan ?? Au
Ni hivi vyeti vya kitaaluma ,, tulivyovi -scan ,, ?? ( Vyeti vilivyotumika katika mfumo wa or tamisemi )
Vipi hasa tunavipandisha kwenye mfumo ??..
Wapigie waitoe ukishindwa lakini haiathiri hata ukiacha!Msaada kufuta degree moja, View attachment 3048514
Written interviewAu sio , interview ya ualimu sijui watafanya Namna gani kuhakikisha wote wamepita kwenye mchujo 😂
Ndio inavyokuwagaLakin bado nina kigugumiz juu ya usaili. Kuna mtu kamaliza 2015 na hata sehem ya kujitolea kufundishq alikosa akaamuq kujikita kwenye bodaboda, Leo unatangaza ajira na unamuingiza kwenye usaili na Graduate wa 2023 fresh kabisaa kutoka chuo, kichwa bado cha moto. Freshers ananafasi nzuri zaidi ya kupita kwenye usaili na kupata ajira huku yule wa 2015 akiendelea kufukuza upepo
Isainiwe na wewe mwandishi wa Barua husika.tuambatanishe na barua ILIYOSAINIWA.. Isainiwe na nani????
Pelekeni mahakama ya mwanzo Elfu 10 tu.Wakuu naweza peleka vyeti kwa mwanasheria kwa niaba ya watu?
Pia gharama ni kiasi Gani kupigiwa muhuri?
Sio kwamba saili zote 3 zinafanyika kwa siku 1...Mkishafanya written wanatoa matokeo wale waliofaulu watafanya practical siku nyingine watatoa tena matokeo watakaofaulu watafanya oral siku nyingine tena then mnasubiri kuitwa kazini sasaHivi unafikri walimu waliopo mtaani ni wachache? Yaani interview ya somo moja uwafanyie siku moja? Mfano walimu walisomea Kiswahili wapo 50000 utawafanyia interview siku 1, wafanye written, practical na oral kwa siku moja?
Hapa unaenda kufundisha civics ndugu mwalimu?😂Bachelor of education in adult education and community development (BED ADEC)