Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimetuma sijapata mrejesho
Tulia watakujibu hata kesho , relaxnimetuma sijapata mrejesho
Mimi nawashangaa hawa watu walimu ni wengi halafu wanaomba mara mbili yaani kila somo analofundisha, maanake maombi yanaweza fika laki 5, sasa watamudu vipi kuwafanyia interview watu laki 5?Ndo weakness kubwa ya ajira portal,,anaenufaika ni yule ambae amamaliza juzi lakin wale wa miaka ya nyuma ni ngumu kutoboa maana vitu vingi wamesahau ,mm naona tamisemi palikua panafaa zaidi maana wao ni wengi na ninajua PSRSS Hawawez kumudu usaili wa watu 250,000
mkuu please respond to my PM I beg youMimi nilimaliza 2017 sio kipindi cha jk
Wakubwa msaada wenu tafadhali. Kwenye upande wa picha kuna picha nilikuwa nimeiweka lakini kumbe haifai. Najaribu kuibadili lakini haibadiliki, tangu jana jioni hadi sasa. Shida itakuwa nini wakuu? MwifwaHapana.
Picha inawekwa eneo la Picha kwenye profile ya ajira Portal ya muhusika
Ukifanikiwa naomba uniambie na Mimi maana ndo jambo linalonikwamisha mpaka sasanimetuma sijapata mrejesho
SawaWanasema hayawi hayawi yamekuwa sasa .TAMISEMI wametangaza Ajira za walimu 11,015.
TANGAZO LINASEMA HIVI:
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015.
NAFASI ZILIZOPO NI HIZI:
1. MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA BIASHARA (COMMERCE) NAFASI 23
2. .MWALIMU DARAJA LA III B – KILIMO (AGRICULTURE) NAFASI 29
3. MWALIMU DARAJA LA III B – KIFARANSA (FRENCH) NAFASI 2
4. MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA LISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION) NAFASI 2
5. MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USHONAJI (TEXTILE) NAFASI 2
6. MWALIMU DARAJA LA III C – KEMIA (CHEMISTRY) NAFASI 544
7. MWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS) NAFASI 633
8. MWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS) NAFASI 662
9. MWALIMU DARAJA LA III C – BAIOLOJIA (BIOLOGY) NAFASI 515
10. MWALIMU DARAJA LA III C – JIOGRAFIA (GEOGRAPHY) NAFASI 310
11. MWALIMU DARAJA LA III C – HISTORIA (HISTORY) NAFASI 211
12. MWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA ( ENGLISH) NAFASI 412
13. MWALIMU DARAJA LA III C – KISWAHILI NAFASI 184.
Kazi kwenu walimu mmeletewa Ajira mikononi mwenu.
##Mama Samia Hoyeeeeee
View attachment 3047555
Kama umishawai fanya interview na utumishi uwezo uliza swali hilo!Mimi nawashangaa hawa watu walimu ni wengi halafu wanaomba mara mbili yaani kila somo analofundisha, maanake maombi yanaweza fika laki 5, sasa watamudu vipi kuwafanyia interview watu laki 5?
Ninachojua watakata wengi sana na kutoa wachache kwa ajili ya usaili.
Hebu tuliza kichwa na akili masomo yapo yote! Wewe kwenye category umeandikaje? Hakikisha kila hatua umeigusa ! Masomo yote yapoMsaada
Kwenye vacancy sioni masomo yangu physics and chemistry Na nikisach inaandika Not found
Pia sioni sehemu ya kuapply mikoa