Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali imatengaxa ajira za ualimu 2024 zaidi ya nafasi 11,000 fungua PDF kuona

View attachment 3047683
---
TAMISEMI wametangaza Ajira za walimu 11,015.

TANGAZO LINASEMA HIVI:

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015.

NAFASI ZILIZOPO NI HIZI:

1. MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA BIASHARA (COMMERCE) NAFASI 23

2. .MWALIMU DARAJA LA III B – KILIMO (AGRICULTURE) NAFASI 29

3. MWALIMU DARAJA LA III B – KIFARANSA (FRENCH) NAFASI 2

4. MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA LISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION) NAFASI 2

5. MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USHONAJI (TEXTILE) NAFASI 2

6. MWALIMU DARAJA LA III C – KEMIA (CHEMISTRY) NAFASI 544

7. MWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS) NAFASI 633

8. MWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS) NAFASI 662

9. MWALIMU DARAJA LA III C – BAIOLOJIA (BIOLOGY) NAFASI 515

10. MWALIMU DARAJA LA III C – JIOGRAFIA (GEOGRAPHY) NAFASI 310

11. MWALIMU DARAJA LA III C – HISTORIA (HISTORY) NAFASI 211

12. MWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA ( ENGLISH) NAFASI 412

13. MWALIMU DARAJA LA III C – KISWAHILI NAFASI 184.
Ndani ya mwezi huu mmja zaidi na nafasi 22,000 zimetangazwa achilia mbali Polisi na zile zingine.

Samia mi 5 tena Hadi 2035.
 
Mkuu makasiliko ya nini ujobless unakusumbua sio
Naona umeandika ujinga maana miaka yote wanaomba Online au maana ya Online kwako ni Ajiraportal, basi tufanye Online kwako ni ajira portal so mfumo ambao ndio kwanza mwaka huu wameamishiwa wasiulize mwaswali kwanini tukuamishie wewe kwenye mfumo wa Tamisemi tuone kama hutouliza maswali.

Stupidity Sperm.
 
Wakubwa msaada wenu tafadhali. Kwenye upande wa picha kuna picha nilikuwa nimeiweka lakini kumbe haifai. Najaribu kuibadili lakini haibadiliki, tangu jana jioni hadi sasa. Shida itakuwa nini wakuu? Mwifwa
Picha unayojaribu kuiweka ni kubwa.

Compress angalau iwe chini ya kB 50

Then upload itakubali.
 
Naona umeandika ujinga maana miaka yote wanaomba Online au maana ya Online kwako ni Ajiraportal, basi tufanye Online kwako ni ajira portal so mfumo ambao ndio kwanza mwaka huu wameamishiwa wasiulize mwaswali kwanini tukuamishie wewe kwenye mfumo wa Tamisemi tuone kama hutouliza maswali.

Stupidity Sperm.
Hiii ndio hasara ya kuwa mwl aisee
 
Andika watasoma inafanyiwa kazi sio kwwmba inajibiwa on the spot mkuu,ila inafanyiwa kazi relax
Unaweza jibiwa baada ya masaa au siku ila itafanyiwa kazi
Kwani vigezo vinasemaje kuhusu watu wenye post graduate Diploma? Kwani Tangazo limeficha?
 
Aisee kwangu wanasema NIDA ishatumika kabla kwenye mfumo.
Sasa sikumbuki nilitumiaga email Gani wala password 🔑
Wapigie utumishi chapu watakukumbisha ! Fanya chap!
 
Wakuu samahani kwangu sion sehemu ya ku attach application letter kwenye attachment sehemu ya cover letter haipo
Kama umeshafika mwishoni kwenye kuomba kazi ukibonyesha kwenye apply hasa kwenye kazi unayotaka itatokea sehemu ya kuweka attachment hakikisha barua unayoweka iwe imesainiwa na wewe mwenyewe.
 
Aisee wakuu nakata tamaa sasa. Picha imegoma kabisa kubadilika kwenye profile, sijui nafanyaje tena. Tangu jana nahangaika kutoa picha iliokuwepo. Hadi sasa hakuna majibu. Nisaidieni tafadhali
 
Back
Top Bottom