EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
mahakamani vipi mkuu?Hakikisha mihuri ulopiga kwenye vyeti ni official syo umekutana na wakili uchwara tu kaokota mhuri huko ukapiga" itakucost
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahakamani vipi mkuu?Hakikisha mihuri ulopiga kwenye vyeti ni official syo umekutana na wakili uchwara tu kaokota mhuri huko ukapiga" itakucost
Na leseni tunatakiwa kucertify au ni cheti chake husika kwa kada zenye vyeti vya boardsHiyo ni ndoto kabisa😂😂😂😂😂
Ndio upeleke kwa wakili copy a certifyNa leseni tunatakiwa kucertify au ni cheti chake husika kwa kada zenye vyeti vya boards
Hakuna copy inaprintiwa moja kwa moja kwa mfumo wao ambayo nimerenew mpya, au ndio iyo ukiprint hardcopy then ile hardcopy utoe copy ndio ikapigwe muhuri?Ndio upeleke kwa wakili copy a certify
Kama hujapata msaada. Angalia hapaWadau msaada
Sioni masomo yangu kila nikienda kwenye masomo naona commerce kiswahili Na Agriculture aliyakuwa mimi nataka physics and chemistry nikisach inaandika Not found
Ushapata ufumbuzi?Wakubwa msaada wenu tafadhali. Kwenye upande wa picha kuna picha nilikuwa nimeiweka lakini kumbe haifai. Najaribu kuibadili lakini haibadiliki, tangu jana jioni hadi sasa. Shida itakuwa nini wakuu? Mwifwa
Bila shaka ushapata msaadaDuuu nimechoka kwa kweli hebu tusaidiane wenzangu kwangu nimeapply wakaniambia KON APPLICATION FAILED you can not apply for the job post CHECK REQUIRED BACHELOR DEGREE PROGRAM please read carefully and understand JOB POST QUALIFICATION REQUIREMENT before applying
Thank you degree program yangu ni Bachelor of education in adult and community education bed ace
Yuko sahihi kabisa.Kuna demu Jana usiku SHE (Dada yangu) alikuwa hajui chochote kuhusu huu mfumo but kakomaa nao mpaka kajaza asilimia 98% then akaapply
Alichosema yeye njia rahisi ya huu mfumo ni kwenda nao step one to another usiruke step
Pia inaoneka mfumo wenyewe pia developer wapo kazini pia kufix matatizo ya mfumo
HahahaaTayari nishatuma maombi ,natafuna popcorn hapa na juisi ya tende kusubili pdf ya kupangiwa Kazi[emoji91][emoji91][emoji23]
Mama Samia oyeeeee
Ndioivi inawezekana ukaapply mara mbili i mean ukaapply masomo yote mawili moja moja separately?
Mkandaji huna baya,Kwa wanaoomba kazi kupitia mfumo wa ajiraportal, ili iwe na assurance ya kwanza ya kuwa shortlisted ukiachana na vigezo vingine, hakikisha umezingatia haya kwenye mfumo (akaunti yako)
1. Umeweka vyet vilivyopigwa mhuri kwa mwanasheria kwa maana ya vyeti vyote vya kitaaluma (4,6, chuo, transcript plus chet cha kuzaliwa ni lazima)
2. Uwe umeattach documents/attachments zote kulingana na level ya elim ulizopita" hapa unakuta mtu kasoma chuo ila hajaweka transcripts " my dear expect nothing
3. Hakikisha barua yako ya maombi inazingatia vitu viwili vikibwa kwanza iwe imesainiwa na wewe mwombaji wa nafasi hzo, pili hakikisha barua iwe directed kwenye anuani husika kama ulivoelekezwa" usikosee hata kdogo anuani kitakulamba[emoji23]
4. Hakikisha mihuri ulopiga kwenye vyeti ni official syo umekutana na wakili uchwara tu kaokota mhuri huko ukapiga" itakucost
5. Hakikisha umeweka chet cha kuzaliwa ni mhim , usipoweka huwez kuwa shortlisted
6. Kama umefanya duplication ya certificates unakuta mtu kaweka same Bachelor kama mara 3 kakosea tu katika ujazaji" fanya jihad za kuichomoa ila isikupe wasiwas kikubwa kama haikulimit kuapply unaweza kuwa shortlisted ila fanya namna ya kuiweka Sawa
7. Hakikisha umeweka passport size,
8. Hakikisha umejaza wadhamin wako watatu na ni vizuri wasiwe ndugu, unakuta mtu jna lake ni PAUL JOHN, ukija kucheki wadhamini wote tunaona kina JOHN tu[emoji23] kdogo inaweza kuleta shda japo so sana
9. Hakikisha umeweka CV yako" na usitumie cv ile inayokuwa generated from ajiraportal account, tumia cv ya kawaida za kila sku tunazotengeneza
10. Hakikisha kama Kuna shida ya majina labda nida na majina yako haviendaniii , au chet cha kuzaliwa pia Kuna shda na majna yako halisi hakikisha ume attach affidavit/kiapo pale kwenye other attachments Kuna hyo sehem.
Above all" mkabidhi Mungu kwenye kila ktu.
Haina shida endapo hayo majina ya vyeti ni sawa na majina ya NIDA, BIRTH CERT.Mkuu mimi nida na cheti cha kuzaliwa vina majina matatu ila vyet vya taaluma vina majina mawili je affidavit inahitajika
Kuweka yenye somo ndio sahihi. Usipate shaka kuhusu hilo, wenye mfumo ndio wameset iwe hivyo.Wakuu hili swala limekaaje na itakuaje huko mbele ...
Unakuta chuo nimesoma "bachelor of science with education " ndio degree yangu masomo yalikuwa chemistry na biology lakin ajira portal nikijaza hio kozi mfumo unakataa kabisa ....ila nikijaza hii bachelor of education (chemistry and biology) inakubali .... course ya kwenye cheti na niliyoapply tofauti ...
Wengi tu tumefanya Fanya hivo , bachelor of art with education,unakuta mfumo unakataa mpaka uweke yenye somo kabisa ,ambayo Ni tofauti na iliyoandikwa kwenye cheti ...
Kwa wenye uzoefu ajira portal ,kuitwa interview na mengine changamoto kama hio huwa huko mbele Hakuna tatizo lolote ?
Mkuu kuna jamaa angu anadai kwenye address ya mpokeaje pale mwanzo sehemu ya kuanza na KATIBU, yeye kamalizia KATIBU WA SEKRETARIETI na chini imeendelea kama kawaida na box lile lile je ,hilo neno aliloongeza mbele lina shida?Mkandaji huna baya,
Mwenye kusikia na asikie, mwenye kufuata na afuate..
Bachelor of education in adult and community education somo la kufundisha kiswahiliUmeomba kazi ambayo haina vigezo vyako? Maana hapo inaonesha vigezo ulivyonavyo haviendani na kazi unayo iomba! Tulia nagalia kwa makini kila ulichojaza! Wewe una degree gani na unaomba nini?
Napataje new password nikitaka kulogin na device nyingine ikubaliNenda kwenye email yako bonyeza neno forget password .Baada ya kubongeza italuletea Type your email
Pia kwa chini kuna maneno yameandikwa kwa repicha
Type hayo maneno then submit ,ukisha submit watakuandikia reset password sent to your email .Baada kama dk 2 watakutumia link ya inasema Activate your account yako rangi ya Blue Bonyeza hayo maneno itakuletea inter new password na confirm new password kwa chini Kuna neno Change .ukishabonyeza neno change itakuandikia continue Click Hilo neno continue hapo utakuwa umabadili neno la Siri au Password .Mfano wa password utakayoweka andika Ngara@1990 fanya hivo uendelee na maombi
BadoBila shaka ushapata msaada