Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Ndio upeleke kwa wakili copy a certify
Hakuna copy inaprintiwa moja kwa moja kwa mfumo wao ambayo nimerenew mpya, au ndio iyo ukiprint hardcopy then ile hardcopy utoe copy ndio ikapigwe muhuri?
 
Wadau msaada
Sioni masomo yangu kila nikienda kwenye masomo naona commerce kiswahili Na Agriculture aliyakuwa mimi nataka physics and chemistry nikisach inaandika Not found
Kama hujapata msaada. Angalia hapa
Screenshot_20240725-164526 (1).jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20240725-164526.jpg
    Screenshot_20240725-164526.jpg
    72.2 KB · Views: 4
Duuu nimechoka kwa kweli hebu tusaidiane wenzangu kwangu nimeapply wakaniambia KON APPLICATION FAILED you can not apply for the job post CHECK REQUIRED BACHELOR DEGREE PROGRAM please read carefully and understand JOB POST QUALIFICATION REQUIREMENT before applying
Thank you degree program yangu ni Bachelor of education in adult and community education bed ace
Bila shaka ushapata msaada
 
Kuna demu Jana usiku SHE (Dada yangu) alikuwa hajui chochote kuhusu huu mfumo but kakomaa nao mpaka kajaza asilimia 98% then akaapply

Alichosema yeye njia rahisi ya huu mfumo ni kwenda nao step one to another usiruke step

Pia inaoneka mfumo wenyewe pia developer wapo kazini pia kufix matatizo ya mfumo
Yuko sahihi kabisa.

Lazima uende step by step
 
Kwa wanaoomba kazi kupitia mfumo wa ajiraportal, ili iwe na assurance ya kwanza ya kuwa shortlisted ukiachana na vigezo vingine, hakikisha umezingatia haya kwenye mfumo (akaunti yako)
1. Umeweka vyet vilivyopigwa mhuri kwa mwanasheria kwa maana ya vyeti vyote vya kitaaluma (4,6, chuo, transcript plus chet cha kuzaliwa ni lazima)
2. Uwe umeattach documents/attachments zote kulingana na level ya elim ulizopita" hapa unakuta mtu kasoma chuo ila hajaweka transcripts " my dear expect nothing
3. Hakikisha barua yako ya maombi inazingatia vitu viwili vikibwa kwanza iwe imesainiwa na wewe mwombaji wa nafasi hzo, pili hakikisha barua iwe directed kwenye anuani husika kama ulivoelekezwa" usikosee hata kdogo anuani kitakulamba[emoji23]

4. Hakikisha mihuri ulopiga kwenye vyeti ni official syo umekutana na wakili uchwara tu kaokota mhuri huko ukapiga" itakucost
5. Hakikisha umeweka chet cha kuzaliwa ni mhim , usipoweka huwez kuwa shortlisted
6. Kama umefanya duplication ya certificates unakuta mtu kaweka same Bachelor kama mara 3 kakosea tu katika ujazaji" fanya jihad za kuichomoa ila isikupe wasiwas kikubwa kama haikulimit kuapply unaweza kuwa shortlisted ila fanya namna ya kuiweka Sawa

7. Hakikisha umeweka passport size,
8. Hakikisha umejaza wadhamin wako watatu na ni vizuri wasiwe ndugu, unakuta mtu jna lake ni PAUL JOHN, ukija kucheki wadhamini wote tunaona kina JOHN tu[emoji23] kdogo inaweza kuleta shda japo so sana
9. Hakikisha umeweka CV yako" na usitumie cv ile inayokuwa generated from ajiraportal account, tumia cv ya kawaida za kila sku tunazotengeneza
10. Hakikisha kama Kuna shida ya majina labda nida na majina yako haviendaniii , au chet cha kuzaliwa pia Kuna shda na majna yako halisi hakikisha ume attach affidavit/kiapo pale kwenye other attachments Kuna hyo sehem.

Above all" mkabidhi Mungu kwenye kila ktu.
Mkandaji huna baya,

Mwenye kusikia na asikie, mwenye kufuata na afuate..
 
Mkuu mimi nida na cheti cha kuzaliwa vina majina matatu ila vyet vya taaluma vina majina mawili je affidavit inahitajika
Haina shida endapo hayo majina ya vyeti ni sawa na majina ya NIDA, BIRTH CERT.

Mfano: NIDA ni Mkandwaji Ualimu Uraia

Vyeti ni Mkandwaji Ualimu.

Hapo hamna shida yeyote.

Case Study: Mimi mwenyewe majina yangu yapo hivyo na nishapitia PSRS na kuachia wengine nafasi nao wapambane
 
Wakuu hili swala limekaaje na itakuaje huko mbele ...

Unakuta chuo nimesoma "bachelor of science with education " ndio degree yangu masomo yalikuwa chemistry na biology lakin ajira portal nikijaza hio kozi mfumo unakataa kabisa ....ila nikijaza hii bachelor of education (chemistry and biology) inakubali .... course ya kwenye cheti na niliyoapply tofauti ...

Wengi tu tumefanya Fanya hivo , bachelor of art with education,unakuta mfumo unakataa mpaka uweke yenye somo kabisa ,ambayo Ni tofauti na iliyoandikwa kwenye cheti ...

Kwa wenye uzoefu ajira portal ,kuitwa interview na mengine changamoto kama hio huwa huko mbele Hakuna tatizo lolote ?
Kuweka yenye somo ndio sahihi. Usipate shaka kuhusu hilo, wenye mfumo ndio wameset iwe hivyo.

Sasa unataka mfumo ukutake uweke Bachelor of Education halafu baadae wakute huna sifa maana unaweza kuweka viti tofauti.
 
Ila huu mtandao nao changamoto sana ..

Juzi wakati namfungilia account mtu .. ikaandika account inactive ,,tukaangaika wee tukatumiwa Email ya kureset email ,, baada ya hapo tukatengeneza password mpya .. tukaingia ndani ya mfumo na kufanikiwa kujaza kilakitu kilichotakiwa na kutuma maombi ...

Sasa leo,, tumejaribu ku - log in inaniandikia incorrect log in ,, tumejaribu kuomba email verification ili nitengeneze password mpya ,,chaajabu hawanitumii ,,, tukasema tuwapigie simu hazipokelewi kabisaa sasa mtu unakosa mawazo ni hatua gani uchukue
 
Naomba kuuliza, sjatumiw sms ya kuninotify km maombi yamefika,lkn kwny profile inaonesha received. Nimeapply tar 22 had leo sjaona sms kw email ,kuna shida hapo?
 
Nimejaribu ila sijatimia password mpya.
Ambayo naweza kutumia kwenye device nyingine.
Maana hii nimejaribu kwenye cm
 
Mkandaji huna baya,

Mwenye kusikia na asikie, mwenye kufuata na afuate..
Mkuu kuna jamaa angu anadai kwenye address ya mpokeaje pale mwanzo sehemu ya kuanza na KATIBU, yeye kamalizia KATIBU WA SEKRETARIETI na chini imeendelea kama kawaida na box lile lile je ,hilo neno aliloongeza mbele lina shida?
 
Umeomba kazi ambayo haina vigezo vyako? Maana hapo inaonesha vigezo ulivyonavyo haviendani na kazi unayo iomba! Tulia nagalia kwa makini kila ulichojaza! Wewe una degree gani na unaomba nini?
Bachelor of education in adult and community education somo la kufundisha kiswahili
 
Nenda kwenye email yako bonyeza neno forget password .Baada ya kubongeza italuletea Type your email
Pia kwa chini kuna maneno yameandikwa kwa repicha
Type hayo maneno then submit ,ukisha submit watakuandikia reset password sent to your email .Baada kama dk 2 watakutumia link ya inasema Activate your account yako rangi ya Blue Bonyeza hayo maneno itakuletea inter new password na confirm new password kwa chini Kuna neno Change .ukishabonyeza neno change itakuandikia continue Click Hilo neno continue hapo utakuwa umabadili neno la Siri au Password .Mfano wa password utakayoweka andika Ngara@1990 fanya hivo uendelee na maombi
Napataje new password nikitaka kulogin na device nyingine ikubali
 
Back
Top Bottom