Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Ah sasa kwann wameongeza siku aisee, hao n waalimu wanapaswa kuendana na mfumo. Kama wanashindwa kuendana na mfumo wataweza kutoa ujinga wa watoto wetu kweli.
Mbona mie sijaona huo muda walioongeza kiongozi?
 
Sitaki kuamini kama kuna mwalimu yeyote kashindwa kufanya application kwa sababu zilizo katika uwezo wake.PSRS na TAMISEMI mmefanya la maana sana na ajira zote za waalimu na afya zitoke kwa mfumo huu miaka yote.Hallaaaa kimewalamba waalimu
 
Ah sasa kwann wameongeza siku aisee, hao n waalimu wanapaswa kuendana na mfumo. Kama wanashindwa kuendana na mfumo wataweza kutoa ujinga wa watoto wetu kweli.
Hawajaongeza yule jamaa aliamua kuchangamsha tu😂😂 kama mzee T -Pain
 
Sitaki kuamini kama kuna mwalimu yeyote kashindwa kufanya application kwa sababu zilizo katika uwezo wake.PSRS na TAMISEMI mmefanya la maana sana na ajira zote za waalimu na afya zitoke kwa mfumo huu miaka yote.Hallaaaa kimewalamba waalimu
mwijaku kwenye moja na mbili

hallaaaa😁
 
Walimu ambao mnajiandaa na usaili wa written.

Ntawapa mambo ya kuzingatia maana Mimi nimefanya mara kadhaa usaili katika shule za private.

Anza kusoma haya mambo👎🏽

Curriculum and syllabus

Lesson plan

Scheme of work

Teaching Aid

Teaching method

Teacher philosophy

Media and technology in teaching

Counselor and guidance in teaching
 
Hizi unasoma miaka mitatu na aumalizi
 
Back
Top Bottom